Recent content by tHe ConCreTe

  1. T

    Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Yan changamoto kama hizi znazojirudia kila uchweo znafanya kabsaa ni mwoga kuoa ...! Utakae muoa ni ex wa flan na watakutana tu accidentally so nahis kuwa tu mpnz tosha bila kumuingiza kwenye mkataba wa ndoa manaa ni stresssss tuuu kwenye ndoa ...
  2. T

    Sijui kwanini? Mke wangu sikuhizi hafurahii tendo la ndoa

    Ila kama umedhamiria kupata wa pemben mawazo yetu hayatabadilisha mtazamo wako ila mi nakushaur mpeleke hospital akapimwe kisukari hil nalizungumza kwa uzoefu ..kisukar hupoteza hamu ya tendo la ndoa NB: uwe umejiridhisha kwamba hana mtu mwngn nje ndo mwende hospital mn km kuna usaidiz pemben...
  3. T

    Hivi kwanini wasichana wa Kizungu, Kihindi na Waarabu, wanavutia sana kuliko wasichana wa Kibongo?

    Ila ndo hvyo kila mmoja na mtazamo wake ila kwa upande wangu mwanamke wakizungu huwa hanishurtishi kugeuka nyuma kumtazama tukipishana km m'bongo ... For me mbongo hasa aliejaaliwa ni zaid ya mzungu
Back
Top Bottom