Recent content by The Boldly

  1. The Boldly

    Joyce Msuya

    Hongera kwake
  2. The Boldly

    #COVID19 Mkasa wa kipekee kuhusu pilikapilika za kujikinga na COVID-19

    Ukija na akili ya pombe hapa unaweza kulewa tena! 😂😂😂😂
  3. The Boldly

    Ili ligi yetu iwe maarufu na mpira wetu Ukue, TFF zuieni uchambuzi na wachambuzi

    Hoja yako si sahihi. Lakini huwa najiuliza,hawa wachambuzi wamesomea urefarii?
  4. The Boldly

    Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Mkuu Tumia akili sasa naomba ukamilishe huu mpango wako🏃🏃
  5. The Boldly

    Kwa takwimu hizi za Kariakoo Derby 11 Desemba 2021, nani kaupiga mwingi?

    Game ya sare hakunaga aliyezidiwa mbinu. Labda kama Simba SC alikuwa na shida na sare!
  6. The Boldly

    Kwanini Wafanyakazi wa TANESCO wananunua umeme ofisini?

    Kwani wao wanavyopewa unit za bure wewe unakosa za kununua?
  7. The Boldly

    TFF na GSM wamedhamiria mechi isichezwe: mabango bado yapo

    Unajua NBC wanatoa shilingi ngapi?
  8. The Boldly

    Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Kiukweli hili jambo haliniingii akilini. UKIMWI? Maana yake Hata Corona anaweza kuponya??
  9. The Boldly

    Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Punguza ukali wa maneno. Sina UKIMWI. Nauliza suala la kiroho. Inawezekana kweli mtu akaombewa na Mwamposa na kupona VVU? Kama ni kweli,watu wangekuwa wanateseka na ARVs?
  10. The Boldly

    Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Kwahiyo mtu akitaka kuponywa VVU atamkuta wapi Yesu? 🏃🏃🏃🏃🏃
  11. The Boldly

    Ni Kweli Mwamposa anaponya Virusi Vya Ukimwi?

    Ni hatari tupu... Baada ya kuombewa hakwenda kupima?
Back
Top Bottom