Recent content by TGS D

  1. TGS D

    JamiiForums Tanzania BBC Swahili Tumewachoka!

    Asante k-boko.hata mm wananikera sana.naona kuna upungufu bbc, wako biased sana kwa sababu katika matangazo yao ya ukanda wa maziwa makuu, kiasi kikubwa ni habari za kenya na ni kila siku.hata ukija kwenye coverage ya uchaguzi wetu ni kama hakunakinachoripotiwa.labda kwa sababu watangazaji wao...
  2. TGS D

    JamiiForums Tanzania Mzee Regnald Mengi aongoza kwa kuwa na followers wengi Twitter

    Having so many followers in twitter, Facebook or instagram doesn't make someone special than others.Jesus Christ had only 12.
  3. TGS D

    JamiiForums Tanzania Mh Kessy analipuka Bungeni

  4. TGS D

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalum: Buriani Nelson Mandela

    R.I.P Tata Madiba
  5. TGS D

    JamiiForums Tanzania Animal Style, In-N-Out

    Animal-style cheeseburger, fries, drink Weekend njema great thinkers!!!!!!!!!!!
  6. TGS D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kujenga nyumba kwa mkandarasi au fundi wa kawaida...

    Hahahaaaa,Serikali itakapoapprove 3.5M mkuu
  7. TGS D

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kujenga nyumba kwa mkandarasi au fundi wa kawaida...

    Habari great thinkers, Naomba ushauri na maoni yenu kuhusu kujenga nyumba.Kipi ni bora na nafuu iwapo utatumia mkandarasi au fundi wako wa mtaa? Maoni yenu yatatusaidia wote.
  8. TGS D

    JamiiForums Tanzania Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Kila la kheri dr.ulimboka,Mungu akujalie afya njema.
  9. TGS D

    JamiiForums Tanzania Kama hivi ndivyo ilivyo muda wowote dr. Ulimboka atatutoka duniani, baba yake aangua kilio.

    Mwenyezi Mungu akujalie afya njema dr.ulimboka.
  10. TGS D

    JamiiForums Tanzania Bajeti imewasilishwa; Anayetaka namba maalum kwenye usajili wa Gari 5mil

    Naomba kuuliza wadau, sasa ina maana ile tax calculator ya excel inayotolewa na TRA ndio haitumiki tena au inakuwaje? Kwa anayejua naomba ufafanuzi.
  11. TGS D

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza mama yangu kipenzi usiku wa leo

    Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu awape faraja.
  12. TGS D

    JamiiForums Tanzania Kampeni za CHADEMA katika picha: Malula na Usa River - Arumeru [March 24]

    Utaipenda tu!naona mzee apo nyuma kaitikia chini Chini...
  13. TGS D

    JamiiForums Tanzania Msaada wale wataalumu wa camera

    Habari mmkuu, ni PM tuongee biashara, nina VIDEO-Camera inaweza kukufaa!
  14. TGS D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Traffic jam status in dar live

    Inahitaja net yako iwe vizuri mkuu
  15. TGS D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Traffic jam status in dar live

    hiyo ya mandela naona imetwist kidogo mkuu.sijajua zimefungwa lini ila nitauliza kwa mdau aliyenipa taarifa hii.
Back
Top Bottom