Recent content by Msonjo

  1. Msonjo

    Sura na Tabia kipi kinakufanya Uoe?

    Hapo unaangalia ni kipi unaweza vumilia endepo hakitakuwa kama vile unataka, sura au tabia Maana ni wachache sana unaokuta anavyo vyote.
  2. Msonjo

    Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hili ndio swali hata mimi najiuliza je chakula hicho walikula wanafunzi tu? yaani chakula kiliwe msikitini wale wanafunzi tu, hata hao walioleta hawakula! basi hapo kuna namna.
  3. Msonjo

    Kwanini watu hufeli mahusiano kila wanapoanza upya?

    Hapo namba 10 ndio umemaliza.
  4. Msonjo

    Msaada kujaza fomu ya passport online

    Yaani huna lengo la kusafiri halafu unataka uwe na pasi ya kusafiria!!?
  5. Msonjo

    Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

    Hiki kibali huwa kinagharimu kama kiasi gani?
  6. Msonjo

    Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

    Hii TIN number uliyokusudia hapa ni TIN ya biashara?
  7. Msonjo

    Naomba kujua utaratibu wa kuimport bidhaa kutoka nje?

    Habari wadau Kutokana msimu huu wa mfungo wa ramadhani, kuna Ndugu yangu anataka anitumie kama tani 20( kontena) za tende kutoka Saudi Arabia ili nifanye biashara. Sasa nataka kujua ni documents zipi za muhimu ninazihitaji au taratibu za kufuata ili niweze kuupokea mzigo huo. Natanguliza shukrani
  8. Msonjo

    Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Kuna lengo la maisha, halafu kuna mambo ambayo yanakusaidia kulifikia lengo. Hapo kwenye lengo ndio kuna maana ya maisha yenyewe,ambapo watu wanatofautina mitazamo na malengo ya maisha. Lakini msingi mkuu wa hii mitazamo ni kile anachokiitakidi mtu baada ya yeye kuondoka hapa duniani. Kuishi...
  9. Msonjo

    Shikamoo biashara

    Biashara inahitaji moyo sana.
Back
Top Bottom