Recent content by tatizomuda

  1. tatizomuda

    Suti iliyozusha mjadala

    ha ha ha naona anazidi kwisha tu huyo wa kushoto na yule wa nyuma naona tumbo linazidi kutangulia mwili unamuacha,hawana amani tena siku zao zinahesabika
  2. tatizomuda

    Ushahidi wa serikali yetu kufilisika huu hapa

    mwisho wa siku watasema kopesheni nguvu serikali,wamesahau kuwa mtu apewe chake kabla jasho halijakauka?watumishi wanaishi kutegemea mshahara wanategemea nn wanapotoa mshahara nusu au wanadhani watu wote ni mafisadi wana pesa za ziada kuendesha maisha?hii serikali imeoza kabisa,mishahara yenyewe...
  3. tatizomuda

    Maamuzi magumu...!

    kuoa au kuolewa ni kama kutia mkono gizani,yeye asikilize moyo na kichwa chake kinaamuaje,kichwa ndo serikali yako then life goes on no regret ukikosea ndo unajifunza hakuna mwalimu ktk mapenzi na maisha sote bado tunajifunza tuko darasani,tutatoa ushauri hapa ata page 60000 zitafika kumbe...
  4. tatizomuda

    Wana JF, hebu tujadili hili pengine Kikwete hafahamu

    akitangaza mshahara wake na posho zote za safari za ndani na nje ya nchi naimani tutaanza kumuamini
  5. tatizomuda

    Hivi hakauna superstar

    nchi yenyewe haitambuliki sasa huyo msanii atatambulika vpi?huku majuu ukikutana na mtu ukimwambia unatoka tz ujue lazima utoe na maelezo ila wenzetu kenya kila kona ya dunia wanajulikana,sisi sijui nani alitupiga juju maana hatuna chochote cha kujivunia labda tumtangaze vasco da gama wetu wa 2...
  6. tatizomuda

    Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee'z.....

    Sigara kubwa nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. tatizomuda

    VIDEO - Chaja ya Simu Yatolewa Toka Kwenye Kichwa cha Mtoto

    maisha yana mitihani mingi sana,mungu atunusuru
  8. tatizomuda

    Mpenzi wangu ananibania sana!

    usione soo sema nae mpwa usije kuwa unatengenezea future nzuri wengine ukaja kula kwa macho,take care mkuu kwa wiki mara 1 too much tena unaishi nae mmmmh ngumu sana mnalala mzungu wa nne kila siku?du pole mkuu kama nakuona unavyosikitika ukiwa kitandani unakula kwa macho
  9. tatizomuda

    Sheikh auawa kinyama

    nchi yetu imeingiliwa na mdudu gani kila kukicha matukio ya mauaji kila kona mbeya nako watu wanapigwa nondo kila kukicha,jeshi la polisi limekuwa linaripoti mauaji kama wamekuwa maofisa habari na sio walinda usalama wa wanachi na mali zao wao kazi yao kwenda kuwakamata cdm tu wakifanya...
  10. tatizomuda

    Wife

    mwenye minazi
  11. tatizomuda

    Ukisikia Miujiza Ndio Hii...

    mungu mkubwa akitaka usife huwezi kufa ata ukanyagwe na train,live long karla
  12. tatizomuda

    Wassira ashitakiwe

    tatizo la magamba wanajiona wako juu ya sheria na hao polisi hawaangalii sheria wanasubiri remote ndo wafanye,nchi za africa hazitaendelea kama hatutofwata sheria,tz mpaka mjumbe wa nyumba kumi anaweza kukutisha na kukuweka mahabusu bila kosa kila kiongozi ni mbabe kwa wanyonge.
  13. tatizomuda

    Elections 2010 Updates Kutoka Jikoni Igunga, saa 5 Usiku

    kila la kheli makamanda huko tuko pamoja cdm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  14. tatizomuda

    Mtalii mzungu na mkalimani hotelini

    teh teh teh lugha gongana kweli
Back
Top Bottom