Recent content by Tabata-Kisiwani

  1. T

    Israel Practicing for New War?

    YouTube - Heroes of the Second Lebanon War
  2. T

    Israel Practicing for New War?

    YouTube - A Hero's Story - The Second Lebanon War
  3. T

    Tatizo ni Balozi Ngemera ama Wizara ya Membe?

    Huyu mugisha ndio mwenye data zote yeye inaelekea yuko karibu sana na balozi na kila jambo linapo kuwa haliendi sawa upande wake, unakurupuka na kuja kuanzisha thread hapa. Unakumbuka ile thread ya Mama Karume? Ni yeye aliianzisha nayo inaonekana ni baada ya kukosa kitu..kisha jina lake..ni...
  4. T

    Madhara ya 'Mlango wa dharura' ni yapi?

    mzozo kweli kweli na huu mlango wa kia
  5. T

    Weekend Njema (funny pics & incredible moments caught on camera)

    itakua kabeba vichwa vya watu huyu..siku hizi wanatafuna vichwa vya watu
  6. T

    Mauaji ya Albino: Kushindwa kwa serikali?

    hii nayo kali sasa duh nashindwa kushangaa sasaaa!
  7. T

    Kesi ya Mahalu: Nani kilaza hapa?

    Boss wako akishakuambia kitu huwezi bisha kitu utafanya tu tena haraka haraka
  8. T

    TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

    Hulazimwishwi kuamini mkuu...
  9. T

    TANZIA Ukiwaona Ditopile afariki dunia

    Inshallah mwenzetu katangulia Na mungu atampa Hukumu anayostahili amina
  10. T

    Baraza la Mawaziri Kenya laundwa!

    mbona Foreign Minister hakuna?
  11. T

    Kutoka Butiama: Exclusive news

    Dua lako limekubaliwa maana imenyesha mvua ya kufa mtu na radi juu leo
  12. T

    kuna misa ya kesha la Pasaka sasa Live

    kuna misa ya kesha la Pasaka click listen live www.radiomariatanzania.co.tz
Back
Top Bottom