Recent content by SwaiMosha

  1. S

    Hongereni ACT-Wazalendo, CHADEMA mnasubiria nini?

    Ndugu yangu subiri muda mchache tuu nao Chadema watawaruhusu akina Halima kuwa wabunge. Hilo ni dhahiri. Wamechelewa tuu ili kuwaridhisha Tundu na Mabeberu waliowapa mpunga wa kampeni. Mpunga ule wa milioni moja kwa kila mbunge kwa kila mwezi wauache? Haiwezekani.
  2. S

    Inawezekana kuna Grand Corruption nyuma ya maamuzi haya ya wanasiasa wetu

    Subiri muda mchache tuuuu na Chadema itawaruhusu akina Halima kuwa wabunge. Amka ndugu yangu kelele zako hazitawanyima wao kunywa maji. Watch this space.
  3. S

    Hongera Polepole, CCM itamisi nafasi yako - Bungeni nako ng'aa

    Mjomba mbona huna uelewa wa Katiba yetu? Wabunge wa kuteuliwa na Rais ni wasiozidi watano wanaume na wasozidi watano wanawake; hivyo jumla isizidi 10. Hivyo Polepole yuko kundi la wanaume. Rais amebakiza nafasi zisizozidi nne kwa wanaume na zisizozidi nne kwa wanawake. Halafu pia Polepole...
  4. S

    Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Amka usingizini Bro. Wabunge 19; kila mwezi wakichangia chama chao milioni moja; kwa mwaka milioni 12 X 19 unapata milioni 228, mara miaka mitano unapata milioni 1,140 (Bilioni moja na ushee!!!!) ; sasa busara yao ni bora kuzipata hizi halafu mnagawana na Viongozi. Mwenyekiti anachukua chake na...
  5. S

    Uchaguzi 2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Muwatimue..... subutuuuuuu; na huku mshiko munautaka!!! Hiyo ya Mnyika ni danganya toto; Wabunge hawa wana baraka zote za Mhe Mwenyekiti wao wa maisha.
  6. S

    Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi

    Duuuu Ndugu yangu amka katika usingizi; tangu lini Amsterdam akawa na mapenzi na watu weusi? Ingekuwa hivyo angeanza kutetea Weusi wa USA, Ulaya, nk. Huyu Bwana hatupendi; anapenda kutunyonya mali zetu tuu. Ndiyo maana ataendelea kusema uongo ili afikie azma yake ya kuweka madarakani Vibaraka...
  7. S

    Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

    LISSU MZALENDO???? UKO DUNIA YA WAPI? KIBARAKA ANAYETAKA KUUZA MALI ZETU KWA KUWEKA REHANI ATAKUWAJE MZALENDO? BADO MASAA MACHACHE TUU TUNAENDA KUWAONYESHA KUWA TANZANIA NI YA WATANZANIA NA SIYO YA TRIPPI, AMSTERDAM, SMITH. HATUDANGANYIKI KAMWE.
  8. S

    Uchaguzi 2020 Asante kwa kuja; Fikisha salamu zetu kwa Robert Amsterdam na wenzake

    NAKUBALIANA NA WEWE. HIMA WATANZANIA KESHO TUJITOKEZE KUWAADHIBU HAWA MABEBERU NA VIBARAKA WAO. TWENDE KUPIGA KURA MAPEMA TUU ILI IFIKAPO SAA 10 JIONI WAISOME NAMBA. YAAANI IIIIIIIIIIIIIIIII.... WANADHANI SISI NI WAJINGA SAAAAANA. ETI MIRADI YA UMEME, BARABARA, RELI, NK. SI KITU...
  9. S

    Uchaguzi 2020 Nimelazimika kusafiri takriban kilometa 1000 kumzuia Robert Amsterdam na CHADEMA

    ASANTE SANA KWA UZALENDO WAKO. MIMI PIA NIMESAFIRI ZAIDI YA KILOMITA 1,200 ILI NIPATE NAFASI YA KUPIGA KURA; LENGO LIKIWA KUWAFUNDISHA AMSTERDAM, SMITH, TRIPPI NA VIBARAKA WAO KUWA WATANZANIA TUNAJUA MIPANGO YAO OVU YAKUTAKA KUPORA MALI ZETU. WASHINDWE NA KULEGEA. MWENYEZI MUNGU YUKO NASI...
  10. S

    Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Angalia watu kama wewe mlio bado na utumwa wa wakoloni. Hivi katia ya sefu na mwinyi nani mzanzibari halisi?? Mimi nakwambia wote ni wazanzibari halisi. Huu ubaguzi wako umechagizwa na propaganda za wazungu ili watugawe maana hivyo ndiyo wanaweza kupora rasilimali zetu. Amka mjomba sisi wote ni...
  11. S

    Zanzibar 2020 Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Sasa wewe unataka Seif aachiwe tu avunje sheria? Anaenda kituoni eti kupiga kura leo! Unataka vyombo vya dola vimwache akapige kura? Yeye ni nani? Anajua hawezi kushinda ndiyo maana anataka kutokee vurugu. Amani italindwa kwa gharama zote.
  12. S

    CHADEMA jiandaeni kisaikolojia kupokea matokeo

    Viva Tanzania Huru. Mabeberu na vibaraka wao ziiiiiiiii. Mungu wetu atukuzwe.
  13. S

    Uchaguzi 2020 Hongereni Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Baki na uongo wako. Subiri J5 tunavyoenda kuwaonyesha vibaraka kama wewe. Sisi Wazalendo tunaenda kuchagua maendeleo siyo fujo, tutachagua Wazalendo na siyo vibaraka wa Wazungu maana mali zetu ziwanufaishe Watanzania.
  14. S

    Uchaguzi 2020 Watu wanamtazama Lissu tu, lakini Kuna huyu anafanya maangamizi balaa

    Duuuuuuu unamdanganya nani? Kwa lipi Watanzania watawapigia CHADEMA??? Wanapinga miradi yote ya maendeleo; sasa watawaendeleza vipi??????? Eti Salum Mwalimu ninayemjua awe Makamu wa Rais???? Kichekesho cha karne.
  15. S

    Uchaguzi 2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

    Wewe mwanaCCM gani utakayempa kura Lissu? Kama wewe ni fisadi, huna uzalendo, mla rushwa, asiyependa maendeleo, anayependa ushoga, ..... NDIYO UTAMPA KURA huyu kibaraka wa Wazungu. Ujue kuwa mwenzako Lissu analianzisha hapa na kwamba tayari ana tiketi ya kukimbia nchi mara tuu baada ya uchaguzi...
Back
Top Bottom