Recent content by Stj 2011

  1. S

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Mungu ibariki Israel, Mungu uujalie Yerusalem kufanikiwa. Amen
  2. S

    Maana ya Income tax ya gari,

    Nitakupa jibu kesho nikifika ofisini baada ya kuangalia regulations sinasemaje.
  3. S

    Wapi Nitapata Matofali haya??

    Rombo maeneo gani mkuu,coz hata mimi nayahtaji na naishi tarakea.
  4. S

    Kwa nini airtel analipa kodi kubwa kuliko voda?

    Kuwa na wateja wengi haimaanishi ndo kuwa na income kubwa, kinachodetermine kodi ni income na sio wateja. Inawezekana vodacom ina wateja wengi bt wana2mia service zao rarery and at low cost hence income yao kuwa ndogo hatimaye tax kuwa ndogo and vice versa to airtel (POINT TO BE TAKEN IS "TAX IS...
  5. S

    Naomba Kufahamishwa Gharama za Uagizaji Gari

    Mkuu ngoja nikusaidie kdogo kwa ufahamu wangu wa computation of duty kwanza utachajiwa import duty =25% of CIF in local currency pili utachajiwa excise duty (i)ED ON CC =(CIF+ID)*10% (ii)ED ON AGE=(CIF+ID)*20% Tatu utachajiwa VAT=(CIF+ID+ED ON AGE+ED ON CC+Any other duty)*18% jumla ya...
  6. S

    Tukumbuke majina ya utani kwa walimu shule tulikotoka

    Wale wa old mosh 2005 mnamkumbuka kinunda, pddy, mafua na utata?
  7. S

    MwanaHALISI: Makala ya leo ya Ndimara ni 'must read'

    Kumbe ndo sababu walianguka,wanamtafuta mchawi aliyewaloga wakaanguka, wakati kauli mbiu yao inasema ''anguka'' sasa utaepuka vipi anguko. Mh! kazi ipo. Watz tusifurahie sana hayo cha msingi tumwombe Mungu sana ili hata kama ni mageuzi yatatokea isewe kama misri,tunisia n.k. Waombaji wa taifa...
  8. S

    Babu yangu..

    Nyi isembo au ikwavi?
Back
Top Bottom