Recent content by Sewa Sewa

  1. Sewa Sewa

    Mkeo ana bodaboda wake?

    Boda boda wangu ninae nampa ATM kadi anatoa hela kwa uaminifu wote, namtuma sokoni namtuma popote, kwa kifupi bodaboda wangu ni zaidi ya ndugu yangu.
  2. Sewa Sewa

    Orodha ya Wakuu wa Wilaya ambao wako kwenye hati hati ya utenguzi

    Akimuondoa OLE SABAYA hata akaacha wengine wote nitamshukuru Mungu
  3. Sewa Sewa

    Nini kimesababisha mabadiliko haya? Mabinti wadogo wanapenda watu wazima

    Vijana kubembeleza hamjui kuhudumia hamjui, kuna kaka mmoja jamani yani akinipigia simu napata raha sana yani anaelewa mahitaji ya mwanamke, tukikutana kama nywele zimeanza kufumuka unashangaa anachomoa hamsini na kuendelea nenda kasuke, ukipigiwa simu uko wapi town unafanya nini nanunua nguo...
  4. Sewa Sewa

    Watumishi wa umma na wasomi, ninyi sio Watanzania pekee

    Wakati tunasoma tunalowana umande na baridi nyie mlikuwa wapi, si mlikuwa mmelala nyie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Comment ya kipuuzi sana hii Anyway natania tu Naomba wajasiriamali wadogo tufikiriwe jamani watumishi watumishi kila siku...
  5. Sewa Sewa

    Ni kanda ya Magharibi pekee haijawahi kuwa na kiongozi wa kitaifa - wanasiasa mna majibu? Nielimisheni!

    Kumbe moringe sokoine alikuwa wa mashariki Huyu mzee si wa monduli
  6. Sewa Sewa

    Wanaume tuoe Wanawake wenye hela, kazi nzuri na wanaotokea familia za kitajiri

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. Sewa Sewa

    Mke mwema ni kilaza na asiye na mafanikio ya kielimu au kipesa?

    Sikutegemea kama kuna mtu Jf(eti great thinker) anaweza kumpiga mke mpaka akazima shame on you Alafu umeandika bila hata aibu, Ndo mana wasukuma nyie kabila la ajabu sana(siyo wote ila wengi wenu) hasa wanaume mnatesa wake zenu mna mfumo dume na ushamba sana Binafsi umenikera sana...
  8. Sewa Sewa

    Nimepatwa na tatizo kwa sababu ya uzembe na niko hatarini kupoteza kazi

    Huyu jamaaa ni muoga wa maisha, yani hiko ni kitu cha kukuogopesha kweli
  9. Sewa Sewa

    Sehemu gani nzuri ya kuanzia maisha kati ya Dodoma na Babati?

    Kupata tenda Babati ni ngumu kwanza ni mji mdogo ambao watu wanafahamiana mtu mpya kujulikana si leo. Dodoma inakuwa inajengwa hasaa, kupata tenda ni rahisi dodoma kuliko babati Ila kwa unafuu wa maisha babati kuna unafuu mkubwa kuna fursa ya kilimo na ufuagaji pia, kuna ardhi nzuri yenye...
  10. Sewa Sewa

    Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

    Waswahili usema tuwe na akiba ya maneno, unaweza kuzungumza kitu baadaye ikawa mwiba
  11. Sewa Sewa

    Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

    Naomba nikuulize mkuu, najua bado mnaendelea kuzaa, mkizaa majike tupu alafu huyo first born akabaki dume peke yake na wakaendelea kucheza kidaka, kupika kubeba midoli utawafukuza wanaooooo??? Think twice
Back
Top Bottom