Recent content by VanMdedeJr

  1. VanMdedeJr

    UTAPELI wa Kazi za African Child Aid (CHUKUA TAHADHARI) | Beware of Scam

    Daah na mie wamentumia hapa leo,sasa ikabidi nigoogle kuona hii NGO wasifu wake,hatimaye nmetokea huku,daah tayali nilikuwa nishapata wenge la mshahara huo...
  2. VanMdedeJr

    Goba vs Kigamboni: Wapi ni pazuri zaidi?

    I'm in love with Kigamboni, ukiwa kigamboni unaweza ku access mahali kokote kwa urahisi mno..Mfano ukivuka tu ferry unakutana na kituo kikuubwa kabisaa cha mwendokasi (Center)... Pili, zile beaches Kigamboni daah,kigamboni kutamu balaa...
  3. VanMdedeJr

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    JAMANI NISAIDIENI NAISI TAYALI HUU MFUMO UMESHANIENGUA😭 Msaada wakuu ,nlipoona masomo yangu husika hayapo nikaamua kujaza masomo tofauti na field yangu alimradi tu bando lisiishe bure na ilikuwa ucku wa saa tisa juzi kati,nikaona acha tu nisubmit,Sasa jana masomo yangu husika yamewekwa,ni...
Back
Top Bottom