Recent content by Excel

  1. Excel

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    UJINGA wa kanji bwana hata ukimwekea nyimbo za kuabudu hajali😅😅 anapita na mkeka pamoja huo wimbo😭😭😭
  2. Excel

    Kwa haya niliyoyaona kazini, nakushauri mwambie mke wako akae nyumbani alee watoto

    cha msingi ni kuwawekea zindiko wake zenu akiachia mzigo atajijua mwenyewe ni FULL kunasiana tu
  3. Excel

    Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    sijaamini kabisa kama umenielewa😌😌 hebu nipe namba zako inbox nikwambie kitu😌😌
  4. Excel

    Mbunge Shonza Afunguka Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassa Katika Mkoa wa Songwe

    hana baya kabisa huyu mama 😭😭😭
  5. Excel

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    mimi pia ni dalali kaka, hebu nipe namba za huyo mwanamke nikusaidie kitu
  6. Excel

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Witch hunter umeamka salama lakini bwana kaka?
  7. Excel

    Vigezo na Masharti ya kushiriki katika Shindano la Stories of Change - 2024

    ni kitendo cha kutumia kazi ya mtu mwingine au andiko/chapisho la mtu mwingine bila ruhusa yake au hata kutaja kwamba nimetoa andiko hili sehemu fulani.. au nakosea ndugu yangu Maxence Melo ?
  8. Excel

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Pole sana kwa maswahibu mdogo wangu. Hongera yako angalau wewe una kitu sema ni changamoto tu za dunia zinakusibu, pambana nazo. Nakushauri usiweke hela zote katika biashara moja.. Uza hivyo vitu vyako ila usije ukajiingiza kwenye makundi yasiyo na maana
  9. Excel

    Kila anayeichukia Israel awe anatazama hii ramani na kupata aibu

    Ila mwafrika bwana, yani kiumbe hiki kina shobo kweli na rangi nyeupe..
  10. Excel

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    mufti tulia..
  11. Excel

    Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

    hivi kwanini ile kitu iliitwa Pussy?
  12. Excel

    Ushauri: Nataka kuanza kuwa chawa ,uchawa unalipa

    Machawa wengi wamepitia mazito sana huwezi amini.. angalia mkuu wa mkoa wa Arusha, alifikia hatua hadi ya kumlamba miguu Riz One kipindi awamu ya 4.. Wengine hadi wanafumuliwa marinda.. Muulize Pdidy kule mambele alichowafanya kina MeekMil just to gain fame.. Free is Expensive in some ways
Back
Top Bottom