Recent content by Siddo

 1. S

  Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi amemteua Nassor Mazrui na Omar Said Shaaban kuwa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi

  Hiyo ndiyo siasa. Hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu bali kuna maslahi ya kudumu
 2. S

  Ukweli mchungu: Wahafidhina wa CHADEMA mjiandae kisaikolojia

  Kisiasa ni kwamba hao waliokufa na kuumizwa lengo lilikuwa ni ili viongozi wao wapate madaraka, wamewapigania kwa jasho na damu ili washike madaraka na ndiyo hao wameyapata sasa munalalamika nini? Jifunzeni siasa siyo mkiambiwa tu muingie barabarani mnakubali!
 3. S

  Mdogo wake Mbowe ahusishwa kuharibu matokeo baraza la mitihani.

  Ndugu yangu hii siyo nonsense. Inawezekana kabisa huyu kijana ametumwa kuharibu kwa maslahi ya chama fulani ili wananchi wailaumu serikali. Fikiria
 4. S

  MKUU wa wilaya Arusha azuila precision ichelewe kuruka Arusha kumzuia balozi wa Papa

  Martin Jr acha uchochezi. Balozi wa Vatican kamwe hawezi kukataa kumuona Rais, nashangaa baadhi ya wadau wanaanza kuamini hilo ili kujenga mashiko hoja za Lema kuwa Raisi ni mdini? Acheni uchochezi ndugu. Mtoa taarifa anaweza kuthibitisha balozi alifuatwa na amekataa? Mnajua kwamba Marekani ni...
 5. S

  Wakristo tuishinikize serikali iufunge ubarozi wa Saudi Arabia nchini!!

  Ntonga unatakiwa uchekiwe akili. Kuna tukio la ugaidi kubwa kama lililotokea New York WTC? Kwa taarifa, waliohusika wengi wao ni raia wa Saudi Arabia. Tungeanza kuona wamarekani wanafunga kule kwanza, Saudi arabia ni rafiki mkubwa wa Marekani (kwa kuuziwa mafuta ya bei chee of course) Mwenzetu...
 6. S

  Mwingira wa EFATHA awaita viongozi ya serikali ni washenzi

  Huyo Mwingira anatakiwa aisaidie polisi ktk upelelezi. Itakuwa ameshaoneshwa nani aliua, nani alirusha bomu, katumwa na nani, saa ngapi, mpango ulipangwa wapi na kwa lengo gani. Tunaoteshwa tu kwenye mambo ya kuwadanganya waumisni but inapokuja kwenye majanga makubwa hamna anayeoteshwa tena ili...
 7. S

  Jk alakiwa olasiti arusha na swaga za m4c

  Chadema is taking advantage of this incident for political gains. now that elections for 3 wards are underway, it is perfect time for cdm to get those vital christian votes! good move eh? I wont be surprised if we come to find they are involved in this issue. It has not been reported yet that...
 8. S

  Kwamba shambulio Arusha-Olasiti ni tendo la Ugaidi na si hujuma ya kidini

  Mwenzetu huyu ameshafanya utafiti na anatupa conclusion. Breivik ameua watu 77 kule Norway ambao wengi wao ni wakristo na yeye alithibitisha mahakamani kwamba ni imani yake ya ukristo iliyomtuma so huyo naye tuseme katumwa na kanisa. Tunarudi pale pale, mtu anaweza kuwa na malengo yake binafsi...
 9. S

  Bungeni: Shibuda aipasha CCM na Serikali yake!!

  Inaonekana wazi Shibuda ametumika na Chadema kushinda kiti cha ubunge peke yake. Kutokana na comments, sidhani kama wana Chadema wanamkubali sana, yeye na watu kama Zitto, kuanzia wiki iliyopita tegemea watu kama Prof Baregu kuingizwa kwenye list hiyo.
 10. S

  Ushabiki pembeni,Mr. Membe is far better than Mr. Kikwete

  MY friend, you are a fanatic! kuna hoja gani hapo?
 11. S

  Baraza Kuu la Waislam (BAKWATA) Lalaani Mlipuko wa Bomu Arusha

  Huyo anahitaji msaada kidogo. Nahisi vyombo vya habari vya magharibi vimefanikiwa ku brain wash watu kuhusu "gaidi ni nani" Mwenzetu anazidi kuchochea petroli kwenye moto. In maana BAKWATA wanahusika siyo? Mbona hawajakamatwa? Watu wengine wanataka huyo Ambrose aachiwe huru kwa sababu jina lake...
 12. S

  Kwamba shambulio Arusha-Olasiti ni tendo la Ugaidi na si hujuma ya kidini

  So uliposema huwezi kutenganisha dini na ugaidi, ulitakiwa useme "huwezi kutenganisha uislamu na ugaidi coz kuna vikundi vingi vya ugaidi ambavyo havina dini. Soma pia Historia ya Ukristo kuhusu hiyo topic, itakusaidia kujua ugaidi ni nini na inahusiana vipi na inatenganishwa vipi na dini
 13. S

  Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge Aesh Hilal wa CCM

  Jamani eeh. Nchi hii, HAKI, ni pale chama cha upinzani wanaporejeshewa ubunge, chama kingine kikishinda kesi, hiyo mahakama inaambiwa imependelea. Kumbuka, ni mahakama hiyo hiyo ya rufaa iliyomrudishia Ubunge G.Lema? Tunasahau haraka!
 14. S

  BOMU LA ARUSHA: Serikali imeanza kucheza mchezo wa kisiasa?

  Uwezo tunao Ongezea na namba (5) CHADEMA Kama kuna dini mbili hatari sana kwa maoni yangu, wao pia wanaweza kunufaika na kutupa bomu. Unaonaje hilo?
 15. S

  Kwamba shambulio Arusha-Olasiti ni tendo la Ugaidi na si hujuma ya kidini

  Mango Pickle Unawajua IRA, AL QAEDA, ETA, KKK, HAMAS? Hivi vimekuwa rated duniani kuwa ni vikundi vya kigaidi lakini chukua mfano ETA ni kikundi cha Ugaidi kilichoua watu wengi na kuteka nyara. Kinatafuta uhuru wa Basque country lakini hakifanyii kazi dini yeyote.
Top Bottom