Recent content by Siao

  1. S

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Shibuda nadhani ni njaaaaaaaaaaaaaaaa tu.... sio jambo jingine....
  2. S

    Mtaalamu wa uchumi (CCM) apigia chapuo sera ya CHADEMA ya serikali ndogo

    Huyu bwana ni hewa hasa. Ana wasiwasi na Chadema, na anaona hilo ni tatizo kubwa kuliko uhakika wa wizi ulipo ccm. akili kama hii inakatisha tamaa kabisa... hivyo tubaki na wizi kuliko kujaribu chama kingine... hapa unaona kweli elimu yetu ya kukremishwa haitusaidii kabisa....pole tanzania!!!!
  3. S

    Rais Kikwete awasili mjini Blantyre, Malawi kushiriki mazishi ya Mutharika

    jamani mbona msiba ni huu huku tz... sio malawi.... yaani viongozi tulionao wao wenyewe ni msiba mkubwa sana kwa taifa letu...
  4. S

    Asili ya jina Tanzania na mwasisi wake: Mohammed Iqbal Dar

    You are also a thinker Huhitaji elimu ya nyota kujua dini ya mleta hoja hii hapa, tz mbona bado safari ni ndefu tu naona. Hata hivyo upande huo wa medali ulikuwa muhimu kujulikana, hata kama namna ya kuuletaujumbe ndo hivyo tena, hata hivyo mambo huanza hivyo. Labda wanaotoa mada sasa sawasawa...
  5. S

    Kamati ya Mrema yakwaa kigingi Ikulu

    Ikiwa ni kweli ujinga huu unafanywa na viongozi wetu - utakuwa upuuuuzi sana, na nchi itakuwa kama kawaida yake haina mwenyewe....
  6. S

    Kanuni zavunjwa tena Arusha...hii ndiyo bongoland.

    wala hajashiba, ukimwona utamsikiikia - mimi namfahamu... ni njaa ya ajabu...
  7. S

    Askofu Dk Mdegella ampa onyo kali katibu wa CCM Arusha

    mna maana huyu ni sofia s sasa...?? CCm siji inatoaga wapi hawa ambao tayari wamekata tamaa na maisha... utadhani wanatumia vvu
  8. S

    Polisi Tanzania walalamikia UDUNI wa makazi yao

    Kama ni wale polisi wa arusha ambao hawana tofauti yeyote na wanyama kwa kuumwa wenzao, wanapaswa waishi porini na wanyama wenza. Polisi wanajidhalilsiha wenyewe .. itachukua muda sana kuonyesha polisi ni mtu mwenye akili timamu. Yaani sasa inaonekana kama polisi ni mtu mendawazimu, maana...
  9. S

    Kikwete alikataa wimbo teule wa EAC kwa kudai ni wa "kikristo mno"

    ninyi mnaambiwaga jamaa ni mweupe mnakataa - huko kichwani hakuna maji ya kunyambulisha mambo hayo yaonekanyo madogo kwetu..
  10. S

    Pinda na Vita tata ya Mashangingi

    Jamani mtoto wa mkulima hana lolote, utashi ni uleule mdogo... Heri hata EL wa Richmond, anaiba na anafanya kazi.. kulilo huyu haibi na hafanyi chochote zaidi ya kucha tuibiwe na Tunaibiwa sasa na watu wengi zaidi. waziri mkuu hapaswi kusema tu mkuu wa mkoa, au mtu ambaye hana mamlaka ---...
  11. S

    Fisadi wa Rada, Tanil Somaiya afanya kufuru IKULU

    kwa mkwere sishangai.... Hapo mpaka ninajichokeaga kabisa...iko siku kura yangu itazaa matunda..... God bless Tansania...
  12. S

    TAKUKURU yetu inaweza ikafanya kitu ya namna hii?

    Takukur sijui nini is a dead organ in the existing goverment... Na wanaishi kwa kodi zetu... shida ni utawala mbovu tulio nao, ambao mtaji wake ni ujinga wa watu wetu wengi... siku zinakuja, ngoja tuendelee kula sangara tupate akili..
  13. S

    Mzumbe univ. Kufuata nyayo za udom, muhimbili..?

    udom na Muhimbili walichemsha basi tu..ukiwaona pale walivyovaa hayo mavazi utadhani hivyo vichwa vina kitu... mkwere naye bila aibu... ukijua wanatakata kukupa kukupima wewe ukiwa na akili si unakataa?? aa!! Sasa vyuo vingine vinajisikia vibaya, mwakani utasikia na jinsi vyuo ni kama utitiri...
  14. S

    Waliomwombea mabaya Makamba walie tu....................

    kwa upinza ni vizuri makamba akibaki - upinzani unapata mahali kwa kuanzia makamba akiwepo... atachemsha wakati wowote, na hapohapo chchm itashikiwa... kwenye siasa tunahitaji watu wanaokosea - kwa usalama wa wananchi...
  15. S

    Ninaomba wana jf tuijadili picha hii.

    mgando mgando... hata wao wanajua wanabembeleza vyeo... hawako serious!! mtu mweye akili timamu huwezi kufanya wanachofanya... ole wao watu wetu wa vijijini waliokwisha amka wajue ujinga huu hapa...
Back
Top Bottom