Recent content by SHUPAZA

  1. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

    Napita Chato Sasa.......
  2. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mwandishi Stanley Katabalo?

    R.i.p kitambo sana
  3. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Sugu: Prof. Jay anaendelea vizuri, wadau wa siasa na sanaa tuzidi kumuombea

    🙏🙏🙏🙏🙏
  4. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Profesa Jay azungumzia afya yake, asema anaendelea vizuri

    Mungu Ni mwema siku zote, Tunamtakia kila la kheri apone haraka
  5. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Hoja sasa ni kuvunjwa kwa jengo au kuhamishwa kwa watumishi wa umma ? Hilo jengo lilikuwa linajengwa na nani mpaka livunje? Mvunjaji kwa nini ameamua kulivunja ? Je jengo linakibali chochote cha ujenzi ?
  6. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

    Mmeisahau KIA
  7. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania WADAU HIVI BADO WASANII WA SASA NI KIOO CHA JAMII?

    Kioo kilishavunjika kitambo
  8. SHUPAZA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodaboda na wake za watu

    True aisee, Ila nao hawa madogo wa bodaboda wajijue wanachukua virus vyetu vikali ambavyo vitawatafuna mapema sana
  9. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kila anayejiita mzalendo ajaribiwe kwa 38 bullets

    Uzalendo sio bullets tu , hata ukimjua mgoni wako na ukamwachia aende wewe ni mzalendo sana . Viva Africa Viva Tanzania
  10. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, usikubali huu mtego wa huyu waziri; atakuwa anatumiwa na mabeberu

    Du! Ngoma mbona bado nzito sana kama kwa msimu huu tu nzigo wetu wa korosho utabanguliwa kuanzia miaka 2 hadi miaka 14
  11. SHUPAZA

    JamiiForums Tanzania Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Au kuchelewa kulipa inawezekana korosho zinapimwa urefu na rula kama samaki
Back
Top Bottom