Recent content by shirama09

  1. S

    Udom;we have serious problems at all universities, i dont know where to start rectifying

    Msomi ndo hana Imani!? kutokuamini kma Mungu yupo ndo kunajufanya uonekane msomi!? vizur umesema watu wanasali muda wa ibada je unajua huo muda mwingine anafanya nn!?
  2. S

    Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

    unajua unachoongea ama unaongea ongea too ilikuleta maneno ambayo hayana tija
  3. S

    Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

    unapokuwa muongo jaribu kuwa mjanja sababu hapa unadanganya udom karibia kila dini inapewa sehemu ya kufanyia ibada yao kutokana na imani yao na kuhusu majengo udom wana majengo mengi kuliko,mengine hayatumiki
  4. S

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    unapoint nzuri ila ukiongelea project out put hausubirii mpk mradi umalizike inaanza the moment mradi umekuwa implemented,wakiwa wanajenga any pblm wao wanaziover come vp!?in short hu mradi una short comin nyingi sana hata haujamalizika, ukimalizika ndo unathan hautakuwa na anymatatizo!? mradi...
  5. S

    Hivi Wanaume Mnaangaliaga Nini?

    hapo umenena alafu wanasema hamna wakuwaoa wakt hawajaka kuolew
  6. S

    Hawa ni kina nani Smile Telecommunication Tanzania

    kwann smile wawe na hiyo price!? wat the logic behind!? Na tanzania tuna miundo mbinu ya kusuport 4G kweli!?
  7. S

    kwan udom kuna tatizo gani?{waliosoma huko tafadhali mnijuze}

    Acha kabobo za vijiweni kijana kma haujui kitu bora ukae kimya mpeleke pale mdogo wako akasome hata master aliyemaliza udsm ndo utajua Udom ninn!?
  8. S

    Ea/ eia experts available at the lake zone

    watu mbona wagumu kuelewa amesema tathimin ya mazingira ama E.a that is envrnmental assessement
  9. S

    Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    chai chungu ndo haumalizi kazi za Boss urudi??
  10. S

    msaada tafadhali

    sawa ngoja aende kwa hosptal then ntawaambia wat she haz been told huko
  11. S

    msaada tafadhali

    the 1st day alivyo bleed aalibleed alot of blood hadi akawa hana nguvu. Na sahv anableed kidogo kidogo bt ts blood clots sumtymz na alivyokosa bleed for two months alipima upt ikawa positive bt ultra sound haikuonekana kitu chochote kwa tumbo
  12. S

    msaada tafadhali

    nina rafiki yangu ambaye alikuwa hajapata hedhi for two months akafanya vipimo vya pregnacy both urine and ultra sound hakuonekana na tatizo sasa ijumaa iiyopita akapata hedhi meanz she start bleeding kwanzia last week friday ila mpaka sahv haijastop...she is comfuzed hapo tatizo ninin
  13. S

    Aliyeanza kukataa kupeana mkono ni EVRA na sio SUAREZ

    naona kitu cha break p, udoso hawana tz tena ama ndo wanaangalia wenyewe
  14. S

    Jamani hivi hili la kubadili chuo ulichopangwa na TCU linawezekana kweli!

    Ndugu jitayarishe na music ya ki2 cha extrem daily hawakubali kuhama mayb uhairishe mwaka,llb ya udom ni ngumu jikaze utazoea too
Back
Top Bottom