Recent content by Shilla

  1. S

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Stop Over kwa Kapinga ni mwizi wa pesa za ulinzi shirikishi

    Fedha zote za mtaa zinatakiwa zikusanywe kwa kutumia POS machine na risiti ya EFD itolewe kwa kila pesa inayokusanywa na mtaa husika. Hata kama no ulinzi shirikishi fedha hizo hukusanywa na na kuwa deposited kwenye akaunti ya mtaa kabla ya kutumia.
  2. S

    Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    Nimepitia Uzi huu, pamoja na mazuri unayofanya kuitangaza biashara yako kuna mapungufu kidogo kwenye lugha unayoitumia kuwajibu wateja wenye negative comments, deal nao professionally usiwe na jazba.
  3. S

    Nataka nijiunge na DSTV, vipi kifurushi cha mambo kina chaneli nzuri?

    Kwenye explora hakuna hili tatizo in plug n play mkuu
  4. S

    Diaspora tukutane hapa: Tupeane ushauri wa kuanza maisha mapya Tanzania

    Mkuu mazingira in tofauti purchasing power ya $ 750 mfano US no tofauti sana na ilivyo TZ, gharama za Maisha huku bado zipo chini sana.
  5. S

    TRA-tozo mpya za parcel zinazo pitia posta ziangiliwe upya

    Ni ndani ya siku mbili tu unakuwa umefika ila wale watu Wa sorting facility ndio shida, unaweza kaa hapo mzigo hata wiki wanakwambia mzigo hawauoni.
  6. S

    TRA-tozo mpya za parcel zinazo pitia posta ziangiliwe upya

    Hakuna mzigo unaotoka nje bila kuwa na documents
  7. S

    Watumishi wa Serikali na siasa za mishahara

    Hili ni tatizo la mwalimu?
  8. S

    TRA-tozo mpya za parcel zinazo pitia posta ziangiliwe upya

    Tatizo watu wengi hawafahamu kununua nje ni cheap kuliko kununua hapa, kwanza bidhaa zetu hapa madukani nyingi ni fake na bei zake ni kubwa kuliko original za nje. Mimi nina miaka zaidi ya kumi sijawahi kununua bidhaa za electronics hapa tz, na Nina save kiasi kikubwa cha pesa eg TV ya USD 400...
  9. S

    Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

    Tuma kitchen foil, mifuko ya plastic sio mizuri kwa afya
  10. S

    Dangote accuses ‘Bulldozer’ Tanzanian president of scaring away investors

    Pesa za nssf na ppf ni za serikali?
  11. S

    Mitsubishi Pajero iO (GDI)

    Tatizo wengi wetu huwa tunatoa ushuhuda Wa vitu ambavyo hatuvijui, Mimi ninayo Mitsubishi pajero io toka mwaka 2008 mpaka Leo naitumia ipo bomba kabisa utafikiri nimetoa Leo japan. Tatizo kubwa watu wengi wameaminishwa na mafundi kuwa gari tofauti na Toyota walizozizoea ni mbaya.mafundi sahihi...
  12. S

    Kwa nini gari za Honda ni cheap sana?

    Sababu yakuwa cheap ni wauzaji Wa magari wanacheza na demand ya wanunuzi eg kwa tz Toyota zipo highly demanded kwahiyo bei zake zipo juu kulinganisha na brand zingine kama Mitsubishi, Mazda na isuzu. Hii inatokana watu wameamishwa na mafundi kuwa brand tofauti na Toyota huwa hazidumu
  13. S

    Kwanini Katika Website ya HTC hawaitambui HTC ONE M9+

    Earphone za htc ni za beat by Dr dree hizi ni ghali lakini kwa kuwa zinazonakuja huku kwetu ni fake ndio maana unapata kwa bei hizo.
  14. S

    Waliosoma Jitegemee Secondary School hebu ingieni hapa Tusalimiane

    Nakubaliana na wewe kwa upande mmoja lakini ukiangalia hata kipindi chanyuma shule ilikuwa inaweza klushindana watu kama mzizima, shabani roberts etc kimetokea nini wakatupiga gape kubwa hivi.hata hiyo michezo iliyokuwa inatupa kiburi atufanyi vizuri.div zero zilikuwepo hata zamani lakini sio...
Back
Top Bottom