Recent content by shegaboy

  1. shegaboy

    Makada wa CCM wakilima

    Unafiki Mbaya sana kweli mtu anayekwenda kulima anavaa hivi wapi umeona. Wacheni kucheza na akili za watanzania watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 47. wanawaangalia tu majibu 2015
  2. shegaboy

    Kulingana na maneno ya Nape huko Songea huu ndio ushauri wangu kwa Zitto Kabwe

    Ole wake mtu huyo anayeusaliti Umma wa watanzania Ole
  3. shegaboy

    Dr.Slaa na Freeman Mbowe sawa na wachezaji ktk team waliokaa kwa muda mrefu.

    Vipi kinana na mangula vijana sana au wazee sana kulingana na Mbowe na Slaa acheni mambo yenu ya kijinga kijinga nyie masisiemu
  4. shegaboy

    Nape apendekeza Msajili wa vyama kufuta CHADEMA

    Hivi kweli Adui yako ndio akuchagulie Jeshi la kushindana naye. CCM hivi ukiwasikia CADEMA leo wanasema ni fulani ndio agombee atatuweza mtampa nafasi ya kugombea kweli au mnataka kuwachanganya watanzania tu na maneno yenu yasiyo kuwa na kichwa wala miguu bwana
  5. shegaboy

    Muhongo: Ni upumbavu kusema Mnada Wa Vitalu Usitishwe

    mhongo ni mjinga anatudharau ila siku zake zina hesabika
  6. shegaboy

    Msaada wa kisheria jamani naomba

    msaada wenu jamani
  7. shegaboy

    Mtanzania aliyekamatwa Los Angeles akiri kuingiza heroin Marekani

    wachnguzwe sana wengi nadhani si watanzania hatuna utamaduni huu hii inatoka wapi? tumeweka mianya mingi sana watu wanachukua passport bila kuhojiwa na maofisa wa uhamiaji wanafanya dili na baadhi ya watu kutoa pass hovyo hovyo au kuongwa hii imelilataifa sasa
  8. shegaboy

    Mgogoro wa Madiwani Bukoba: Masilahi ya Wananchi na Nchi kwanza ya Chama baadae!

    Tunawajua nyie mnaogopa kivuli chenu mshajua kuwa mtapigwa bao na CDM mkala 8-0 yalipokuwa yanatendeka huko nyuma hakua aliyekuwa anaunga mkono vipi Arusha ilikuwa kwa maslai ya nani? na mikoa mingine ni kwa mslai ya nani ila huku ndio mnaona maslai ya taifa na kuepuka garama sio unafiki mbaya sana
  9. shegaboy

    Mgogoro wa Madiwani Bukoba: Masilahi ya Wananchi na Nchi kwanza ya Chama baadae!

    Mbona haya ukuyasimamia na mapaka leo yanatutesa watanzania na taifa kwaujumla wake wacha unafki Nape
  10. shegaboy

    Mgogoro wa Madiwani Bukoba: Masilahi ya Wananchi na Nchi kwanza ya Chama baadae!

    Acha UNAFKI mbona tunaona mambo mengi yanafanyika yasiyonamanufaa kwa nchi kwa minajili ya kukandamiza vyama vingine, na wananchi kwa ujumla wake ukujitokeza adharani kusema neno hili MASLAHI YA NCHI KWANZA VYAMA BAADAE tusiwe wanafi huu ni kuogopa kupoteza hizi kata tu. Ninavyo fahamu hawa...
  11. shegaboy

    nssf

    wiki tu sasa ndugu yangu wiki ya pili unabeba mkwanja
  12. shegaboy

    Wanadanganya kuwa wameacha kazi ili wapate mafao yao

    sina shida nao na je mbona bado wanafanya kazi hapo hapo mimi sina shida kama mtu anachuku chake ila shida udanganyifu ndugu
  13. shegaboy

    Msaada wa kisheria jamani naomba

    Tuanze wapi kwani ni muda sasa mwajiri wetu ajatupa mshahara. tunaomba ushauri wenu ili kujua wapi pa kuanzia. nikiacha kazi natakiwakulipwa ndani ya muda gani? msaada jamani
  14. shegaboy

    Wanadanganya kuwa wameacha kazi ili wapate mafao yao

    Nimesikitika sana na sasa hiki chombo cha NSSF kitakuwa kimya mpaka lini kwani kuna baadhi ya watu wameingia na kusema kuwa wameacha kazi na hali bado ni wafanya kazi na wanapewa mafao yao. fatilieni katika haya makampuni mtaona na kugundua hiki hapa kwetu kuna watu wameleta maombi yao kupew...
  15. shegaboy

    Ponda atuma salamu kwa watetezi wa haki

    pamoja sana ndugu yangu tumezipoke ila misimamo yake saa nyingine si mizuri
Back
Top Bottom