Recent content by Shapecha

  1. S

    Kumbe diwani mawazo best wake godbless lema kajiunga chadema!

    I'm that umechukua muda wako kuread hii post, Crap 4U
  2. S

    Kumbe diwani mawazo best wake godbless lema kajiunga chadema!

    Diwani wa Kata ya Sombetini, Alfonce Mawazo katangaza kujiondoa katika chama chake Jumatano wiki hii na kujiunga na Chadema akidai kuwa amechoshwa na ukatili wa CCM. Mawazo ambaye alihamia CCM mapema mwaka juzi akitokea TLP akiwa diwani wa kata hiyo, alisema kwa muda mrefu amekuwa akiunga...
  3. S

    Eti polisi arusha wanasema hawajakosea kuvuruga maandamano ya chadema

    Mchana huu RPC wa Arusha, Naibu DCI na Kamishna wa operation wameongea na waandishi wa habari na kusema hawakukosea kuvuruga maandamano ya CHADEMA eti kwa sababu kama yangeachwa yangeleta maafa makubwa sana zaidi ya yaliyotokea hiyo juzi. Wamesema waliosababisha yote hayo ni CHADEMA wala siyo...
  4. S

    Barua ya wazi kwa zitto kabwe

    Acha Tamaa mwanangu alinionya mama aliyenizaa jitunze wewe alisema yeyeyeee! Wimbo ulikua mtamu huu
  5. S

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Hii ni kwa wote wanaoleta hoja za ajabu hapa JF za kuichokonoa CDM. Vyama vipo kibao lakini kukicha CDM. Mbona UDP, NCCR, TLP, CUF wapo lakini hawaongelewi? Chokochoko nyingi humu ndani zinaletwa na Mafisadi tunhakuna wengine. Tuiache CDM ifanye kazi sasa uchaguzi umepita.
  6. S

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    CUF imesambaratishwa kwa udini hasa huku bara zanzibar imeshindikana coz dini moja imeoccupy about 99% ya Zanzibar yote. Sasa wanakuja CHADEMA wameingia na gia Ukabila wameshindwa, Sasa wanakuja na hii ya udini ambayo watashindwa haswa kwa kitendo chao cha kumtumia Rais na Spika wahubiri kuwa...
  7. S

    Ningekua na tabia kama ya mr mass!

    Ningekua mie ndiyo mr Mass ningefanya yafuatayo based kwa tabia yangu. 1. Ningeshahama CDM na kujiunga na CCM ili nipewe Cheo hasa uwaziri nijenge CV 2. Ningehamia NCCR kama Kafulila ili nikaulambe uenyekiti wa NCCR sijui mbatia angekubali maana nae kitambo yupo kwenye kile kiti Kama ungekua...
  8. S

    Who is Benson Bana?

    Kashachakachuliwa na CCM thats why unamuona alivyo, Hajui kama anajishusha huyu
  9. S

    Tbc1 uchakachuaji wa shughuri ya chadema kumtunuku sabodo

    Leo TBC ilipokua inatangaza shughuri ya CDM kumtunuku Sabodo ilianza kuongele mapasuko wa uongozi ndani ya CDM badala habari ya kutunukiwa sabodo which means kama ingekua ni gazeti heading yake ingeandikwa hivi MTEI AKANA MPASUKO WA UONGOZI CHADEMA. TV nyingine zote zilitangaza shughuri...
  10. S

    Chadema kinafanya siasa za kistaarabu kuliko chama chochote tz

    Chadema ndiyo chama pekee Tanzania halafu kinafanya siasa za kistaarabu tofauti na vyama vingine vya upinzania vilivyopita. Hii inajidhihirisha kwa sabbu zifuatazo 1. Imekataa kuitambua serikali lakini imekaa kimya bila kuitisha maandamono yoyote hadi sasa ingekua CUF ungeona maandamono...
  11. S

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Mtu wangu umechemka achana na Zitto bwana, Unatamani uwe zitto nini? yeye kashasema hausiki na chochote halafu waleta mambo yako ya ajabu bwana.
  12. S

    UMEYA: Madiwani wa wawili wa CUF wajiunga na wenzao 8 wa CHADEMA Musoma Mjini

    Madiwani wawili wa CUF wameamua kuiunga mkono CDM musoma mjini katika mchakato wa kumpata meya. Musoma Mjini CDM ina madiwani 8, CCM 3 na CUF 2. Jimbo zima lina madiwani 13. Mwanzo mzuri wapinzani wanaungana bila vikwazo HR upo?
  13. S

    Shida ya hr na cuf yake ni vyeo tu wakipewa watatulia!

    Kuhusu suala la kuudwa kwa Kambi Ndogo ya Upinzani, alikiri kwamba yeye ndiye aliyeandika barua kwa Spika wa Bunge, kuomba kuundwa kwa kanuni zinazoitambua kambi hiyo na kwamba suala hilo pia limo kwenye kanuni za CPA na zipo nchi zenye kambi ndogo za upinzani na kutoa mfano Marekani na...
  14. S

    Shida ya hr na cuf yake ni vyeo tu wakipewa watatulia!

    Nadhani mliangalia mdahalo wa jana na mliona kwa kiasi gani HR alivyodhihirisha wazi kuwa anahitaji bado kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani. Mlimuona anavyoongea kwa jazba yeye rafu aliziona za CDM tu ila rafu za CCM hakuziona kabisaa kisa wamepewa umakamu wa kwanza wa rais huko kwa Visiwa...
Back
Top Bottom