Recent content by shalis

  1. S

    Create your smell, create you own look!

    yani mpo sawa san , i like perfum ki ukweli inaongeza mapenzi hasa kama mtu amekuwa nayo kwa muda mrefu it become the permanent smell hat akipita you easly know..
  2. S

    Hoja kuwa wanawake wa kichaga wazuri kisura mapenzi ni sifuri - Napingana nayo!

    thnks lizz, upo sawa muwape heko hata na wagogo, wandengeleko, wafipa na wengine wengi tu sio kila siku sisi bana mtatupotezea test wenzenu lol
  3. S

    Nisaidieni kumuokoa mke wangu mtarajiwa

    si huwa mnasema walimu ndio wake wazuri? pole mlengwa msaidie ana matatizo huyo usimuache
  4. S

    Jamani hapa kosa likowapi?

    Arabian.. hapo utakuwa hukumpenda wa kwanza ila kama ulimpenda aisee lazima utashidwa kuvumilia tu
  5. S

    Mimii ni Geooorge Marato wa I.....T....V...........

    ni stail yake mbona ipo poa tu
  6. S

    Wayajua makali ya harufu yako?

    uko sawa sana mtoa mada, mwanaume mwingine sijui anakuwa anajipaka nini yani sielewi wakati anajipaka anaipenda ile harufu au anajipaka ili akuvutie kumbe jamani ndo anaharibu kabisa coz harufu yake ni nouma .. ila ndo hivyo kama unampenda utasema ne kuhusu harufu yake ukutane nakitu kinavuta...
  7. S

    Mbona haniombi kitu?

    mmmh huwa ni ngumu sana ..kukaa na mtu wa tabia yako ki ukweli inaashiria hat aukiingia nae kwenye family atakuwa si baba bali ..... kwani hujui kutoa kabisa je watoto utawaangalia kama mama tu umeshindwa . mmh huyu dada apate uwezo zaidi na kazi ni kwake!!!
  8. S

    kosa lililofanyika ndo hili

    una shamba/kiwanja kaka? una gari aina gani? utawanunulia wakwe zako I phone? na shemeji zako Blackberry? unabiashara gani mjini? umeejiriwa ?kazi gani? ninakiwanja nilipewa moshi je utakuwa tayari kujenga ili tukiwa tunaeda dec tupate kwa kufikia? ..........ka yes basi ni pM Faster
  9. S

    Nimenuniwa kisa nimejiita Bachela mbele yake!!!!

    nisingekubali hta nikisamehe revenge lazima ...am a single lady am single lady
  10. S

    Hongeren wadada!

    asnte sana..lol japo topic moja itupe heko nasie maana sisemi
  11. S

    Ni wapi wewnye mapenzi ya dhati jamani

    oa umpendae usioe shule, hapo utapata mke
  12. S

    Kipi bora kati ya haya....

    duh sina jibu ....
  13. S

    Mchumba wangu katekwa na binti wa kichaga naomba maombi yenu!!!!!!!!!

    mmh piddy ..nilivyona tu jina nikajua na neno wachagga lipo... magogo, wakatili, wapenda pesa, wasio na utu , wababe , wauwaji wame .... tokalini tukapedwa mpka cha kukimbia na mchumba..lol RIP wazazi wa Bint hedaru
  14. S

    Am soo Down

    pole huwa inatokeaga ..sometime u dont even know what you want? hasa ukiwa na single life but itaisha soon mwaya pole san
  15. S

    Ni kweli wanamirugi wanachukua mda?

    duuh wanapiga game kwa muda sana yani kama 8 hours hivi ukishtuka lol saa kumi na moja na bado unatakiwa kuwahi job ..usisahau the morning oxoxo ni noumer noumer
Back
Top Bottom