Recent content by Serendipity

  1. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi HAMAS inavyotumia mahandaki kushambulia wanajeshi wa Israel huko Gaza

    Hawa Jihadist wanastahili kuuliwa wote na vizazi vyao. In fact, wapalestina wote ni terrorists
  2. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Msimhukumu Rais Samia pasipokuwa na uhakika

    Dawa ya DPW ni kuvunja muungano, hawa wazanzibari warudi kwao watuachie bandari zetu
  3. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata samaki kwa bei ya JUMLA?

    Ndio mkuu, sio kijiji Luna sato wa Msoma au Kutokea Mwanza
  4. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata samaki kwa bei ya JUMLA?

    Natafuta samaki SATO na SANGARA kwa bei ya jumla.Mahitaji yangu ni Sato kg 120 Sangara kg 120 kwa wiki. Napendelea zaidi Samaki wa Msoma. Nipo kigamboni
  5. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

    Mkuu naomba namba yako tubadilishane mawazo
  6. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

    Wa biashara mkuu
  7. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

    Nataka kuanza biashara ya kununua ng'ombe toka mikoani kuja DSM.
  8. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

    Wanaanzia bei sh ngapi?
  9. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

    Nipo Dar es laam mkuu
  10. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ng'ombe: Mkoa gani naweza kununua ng'ombe kwa bei nafuu

    Naomba kujua ni mkoa gani naweza kununua ng'ombe wenye uzito kuanzia 100kg na kuendelea kwa bei nafuu. Thanks
  11. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Gadget za kufukuza panya na wadudu wengine ndani ya Nyumba

    Now available at Dar es salaam. Gadget za kufukuza inzi,mende, panya, sisimizi, nyoka,mijusi, buibui n.k ndani ya nyumba yako. Haitumii kemikali. Check video hindi inavyofanya kazi hapa Place your order now
  12. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Natafuta Vifaa vya Backery

    Naomba kufahamu wapi nitapata vifaa kwaajili ya kufungua Bakery. Ni sehemu gani Dar es laam naweza kununua vifaa vyote kwajili ya kufungua bakery? Pleasse reply here or WhatsApp +255757421949
  13. Serendipity

    JamiiForums Tanzania NSSF sio mfuko mzuri kujiunga kwa waajiriwa Wapya

    Nilitembelea leo ofisi za NSSF Dar es salam zilizopo Ilala karibu na Amana hospital. Wateja nilio wakuta hapo walikuwa na Khali ya Kukata Tamaa na maisha. Malalamiko/Manung'uniko yao ni kuhusu mfuko wa NSSF kuwakatisha tamaa wanachama waliostaafu au walioacha kazi kwani Huduma zao Haziridhishi...
  14. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Spare parts za VOLVO Zinahitajika

    Naomba kujua wapi ninaweza pata kwa hapa Dar es salaam, spare parts za Gari VOLVO XC 90, nahitaji wind screen na engine mounting zote(used or new). Thanks 0717696688, my Number
  15. Serendipity

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi yatoa fundisho la Amani kwa Wakristo

    :what::thumbdown:
Back
Top Bottom