Recent content by sekulu

  1. sekulu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Mihogo mibichi husababisha uzezeta

    KUna Mtu Kafa?,
  2. sekulu

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Asilimia 70% ya wanawake wanavutiwa kimapenzi na wanaume wenye ndevu

    Mwanaume bila neveu ni mtihani kidogo
  3. sekulu

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    "Po apa Japile indwanga kyasyalile ikipiki"
  4. sekulu

    JamiiForums Tanzania KATIBA: Unajua kuwa Serikali haiwezi kushtakiwa kwa kutowajibika

    Siku nikiwa rais nitawafunza adabu, Ntaiba mpaka mumkumbuke rais alienitangulia. Kama siwez kushtakiwa?, Hivi wanasheria (Wale wanaharakati) wetu hawalioni hili
  5. sekulu

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

    Umenena kweli.
  6. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Wote ni wale wale.... Paka Biriani = Pira Biriani
  7. sekulu

    JamiiForums Tanzania Hakuna tatizo miradi mikubwa ya kimkakati kuelekezwa Chato

    I have no Problem with this trust me, Hali ya mfumuko wa bei ikoje kwa sasa?, Kuna muda kama wananchi lazima tupite vipindi vigumu ili tuweze kukaa sawa na kuimarika kama nchi. Kwa upande wangu na Maoni yangu kamili kabisa sioni shida kwa kua yapo mambo ya msingi yanaendelea so acha tuteseke...
  8. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Brandina
  9. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Mshana Jr wewe ni Chikwende
  10. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Inawezekana maana matukio kama yale lazima wachezaji waingie Hofu!
  11. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Naona Pira Nyau Huna cha kusema, hakuna aliesema Simba haijashinda soma uzi vizuri, Soma na uelewe ushindi wa Nyau ni wao kabisa kihalali kwa sasa tunazungumzia yule mganga na Paka lile shume nyau jesuzi zito sura ka linapuliza moto miondoko ya minyato!
  12. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anaogopa kunitambulisha kwa marafiki zake kwa kuhofia wataniiba

    Pisi kali ni Pisi kali tu!
  13. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Sasa kama uliyajua hayo kwanini haukuandika au kwanini haukuanzisha uzi. Tulia leo miminimeona hii ya Paka Shume!
  14. sekulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vimbwanga: Shuhudia mganga aliyevamia uwanjani mechi ya Simba

    Mwamba Kama mwamba
Back
Top Bottom