Recent content by secretary POMPEO

 1. secretary POMPEO

  Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

  [emoji1787][emoji1787] kwahiyo sasa mimi mwenye infinix unanishauri nini?? Au nakosa nini cha zaidi kwenye hizo simu bora ?
 2. secretary POMPEO

  Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

  [emoji23][emoji23][emoji23] hatamani huyu, huyu ndio wa kukamatwa
 3. secretary POMPEO

  Kwasababu nampenda sana mtoto wake, ananilazimisha nimuoe

  Twende moja kwa 1 kwenye mada maana kuna wateja wamenizunguka hapa! Mtaani kwangu nina jirani yangu single mother, imekua na kawaida kila nikitoka kazini mtoto wake ananikimbilia huku anaita "babaaa! Babaa! Babaaa!" kutokana na hali ile nimekua nikipendezwa sana na yule mtoto mara nyingne ikawa...
 4. secretary POMPEO

  Fahamu sifa kubwa ya Infinix Hot 10 PLAY zaidi ya Samsung A02S

  Vipi kuhusu,UMIDIGI,OUKITEL,CUBOT na XIOMI?
 5. secretary POMPEO

  Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

  Mimi ninasimu yangu, nimeiweka kando haijulikani, ipo kwa ajili hiyo
Top Bottom