Recent content by Sanga n.

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kumaliza chuo sio ndo umepata maisha

    Umetoa ushauri mzuri ndugu.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tukubali au tukatae ushirikina upo ktk kutafuta kazi...

    Kwa msomi na mtu yeyote mwenye akili timamu sidhani kama anaweza kufanya jambo la kijinga kama hili
  3. S

    JamiiForums Tanzania Suali kuhusu zile kazi za EAC zilizotangazwa hapa

    Huo ndo uhalisia. Ukiandika jina la muhusika inakuwa private. Assume umeandika jina ka muhusika na muhusika hayupo nafasi imekaimiwa; ina maana barua hiyo haitashughulikiwa mpaka arudi muhusika. Pia ikitokea uliyemwandika jina kapata uhamisho ghafla hiyo barua itashughulikiwa na nani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Actionaid tanzania jobs feb 2012

    Thanks kwa taarifa ngoja tujaribu kuapply.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Application ya certificate of nusing

    thanks kwa unachokifahamu.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Application ya certificate of nusing

    Ni vema wakifanya hivyo ili watu wanapoapply wawe na uhakika na sio kubahatisha.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Application ya certificate of nusing

    Nashukuru ndugu yangu kwa maelezo ya kina na ya kutia moyo. Lord be with yuo. Thanks.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Application ya certificate of nusing

    nashukuru ndugu yangu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Application ya certificate of nusing

    Ndugu wanajamii forum naomba kujuzwa kama application mafunzo (CERTIFICATE OF NURSING AND MIDWIFE) Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii zimeshaanza kwan niliambiwa zinaanza mwez Januari lakini mpaka sasa hakuna tangazo lolote kwenye website yao wala magazeti. Msaada wenu plz.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Interview tips

    Tunashukuru kwa kutuongezea maarifa
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msaaada wa mawazo ndungu zangu.

    We nenda na hiyo CV ila wakikwambia uwape pesa hata 100 kataa. Lazaid kawaulize maswali utajua km ni matapeli au siyo. BY DA WAY WAKIKUAMBIA MKAKUTANE VICHOCHORONI KATAA. ALL THE BEST.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Angalia Jina lako hapa kama uliomba Job UDOM

    tunashukuru kaka kwa juhudi zako mungu akubariki
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili UDOM tarehe 15-16/10/2011

    KWELI HAWA JAMAA NI HOPLESS HASA Cjui elimu ya kuendeshea chuo walipata wapi. Hawana uhakika na mambo yao wanabahatisha. Hii ndo UDOM.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usaili UDOM tarehe 15-16/10/2011

    USIJALI kaka SYSTEM/NETWORK ADMINISTRATORS mpo kundi C Mtafanya hiyo mitihan tar 16 JUMAPILI saa 8:00 ASUBUHI, College ya Social Sciences & Humanities. All the best kaka.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kijana kawa fired

    Kwa kweli ki2 hiki kinaumiza sana, wakati wengine 2kiwa busy na utafutaji wa kaz, wengine wanatengeza mazingira ya wa2 kukosa kaz. Infact kijana huyo anaweza kuwatia nuksi wenzake waliosoma pamoja chuo, maana muda mwingine waajiri hutumia experience, hivyo anaweza kuwa na NEGATV ATTITUDE na...
Back
Top Bottom