Recent content by Sandali Ali

 1. Sandali Ali

  Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai.

  Kuna kashemeji kangu kabinti kalitaka kukiunga forex kwa hela ya mirathi. Nikamwokoa
 2. Sandali Ali

  Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai.

  Nilimkopa usijali. Oa tu
 3. Sandali Ali

  Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

  Kweli usisahau kunijuza. Ili nijue nomechinjiwa baharini au niko kwenye foleni
 4. Sandali Ali

  Taasisi yetu mpaka sasa hakuna aliyepewa barua ya kupandishwa daraja

  Si ndo happy sasa. Sijui wanajua Magufuli ndio kafanya kazi.
 5. Sandali Ali

  Ni kipi kipimo bora cha akili?

  Ukiwa kama mzungu ndipo tunasema wewe una akili. Sio kununua midege 10 ya kibiashara kwa cash.
 6. Sandali Ali

  Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai.

  Hiyo forex ingekuwa dill basi sisi walala hoi tusingeisikia. Ingeishia USA tu, Tanzania ingeishia Masaki
 7. Sandali Ali

  Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai.

  Unatafuta kupigwa risasi ndugu.
 8. Sandali Ali

  Kwanini tunasema mwanamke anaekuomba hela hakupendi

  Kama pesa rahisi kuipata watafute wasitusumbue. Kama kumbatona wote tunapata raha iweje nilipie?
 9. Sandali Ali

  Bia na kitimoto ipi tamu?

  Acha kuifananisha kitimoto na vitu vya kitoto.
 10. Sandali Ali

  Mwezi ukiandama mnishtue. Nimekula pesa ya wife ananidai.

  Wife ananidai laki 7. Take home yangu haifiki hiyo laki 7. Si mnajua jinsi bank wanavyokaba mpaka penalty. Hawana cha kuruka mwezi, wao kila mwezi wanachukua chao mapema. Mkiuona mwezi nishtueni chap nipunguze laki 5 mbili atanisamehe nikimpa chips chumbani.
 11. Sandali Ali

  Wilaya ya Handeni ina waganga wa jadi 6600, Kwamsisi inasifika zaidi

  Wewe unayatafuta matusi kwa udi na uvumba
 12. Sandali Ali

  Ajali ya gari Mkuranga

  Inamaana wanalipwa chini ya kima cha chini?
 13. Sandali Ali

  Ushauri: Serikali ijenge Mall eneo lililobaki baada ya ujenzi wa Stendi ya Kijichi

  Pia kutenganisha H na irabu tano. Katika yote hongera kwa engineer, ushauri wake ni bora zaidi ya kilichofanyika.
Top Bottom