Recent content by Samuel A K

  1. S

    Cha mtu kitamuuu

    Usipige yowe wako akimegwa
  2. S

    Vurugu Mwanza: Wamachinga Vs. Jiji - Damu yamwagika

    kuwa wanaodai ati wahindi wamehonga hela kwa wakurugenzi wa jiji ili wamachinga waondolewe na biashara za wahindi ziendelee vizuri hali hiyo ndo imesababisha vurugu kubwa leo hadi kufikia kuchoma moto magari kadhaa ya mmoja wa wahindi hapa jijini na kupora mali, hali hii itahusishwa kisiasa tu...
  3. S

    House girl na Condom...

    mama hapo umekwisha, maana bek3 huyo kakwambia yeye huwa anakula kavkav. Ataitafakari hiyo ngozi na aende kumwambia mmeo kwamba anaweza msaidia ngozi isitoke na wabush anavyojiachia!!!!!!!! utakomajeeeeeee!!!!!!!!
  4. S

    Nyonyo...

    Nyonyo ilikua bomba ndo maana jamaa alipitiliza kituo akijua bahati itamwangukia
  5. S

    Jamani nifanyeje? Kitimoto wa poli avunja urafiki!

    aache usabato aendeleze kitimoto, kwani kuna kitu ingine tamu kuzidi hiyo? ushauri wangu kila mtu aitumie hiyo ni bomba
  6. S

    Wanaume wanatuchosha lakini hatusikii na wala hatuoni.

    Maisha ndo yalivyo, poleni sana kwa wale ambao yamewakuta kama hayo, lakini mtambue hata wanaume hutendwa sana na akina dada japokua ni wagumu wa kusema tu. Ni bora upoteze pesa kuliko kudhulumiwa penzi
  7. S

    Usikonde makalio

    ukikonda makalio, utapata tabu wakati wa kutoa haja kubwa (Utachanika!!!!!!!!!!!)
  8. S

    RC kutangaza jiwe linalocheza

    Jamani jiwe lipo ni kweli, ni suala la mila zaidi sio sayansi ya darasani. sio suala la kilipush kidogo sababu halina uwiano wa kati katika uzito kama "We can" anavyodai hapo juu. watu wanapofikia kulitoa hadharani fahamu limeshafanyiwa uchunguzi wa kutosha, hata wazee wengine hawawezi kulifanya...
  9. S

    Matawi ya loliondo: Sasa aja mzungu

    K.K.K.T = Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzani? au K.K.K.T = Kunywa Kikombe Kimoja Tu?
  10. S

    Mahojiano kati ya Mungu na Mwasapila

    kazi kubwa ipo. Eeeh Mungu wa kweli uliye hai tusaidie watanzania
  11. S

    Ajali ya manyoni ukweli wafichwa

    Habari toka chanzo kinachoaminika zaonyesha kuwa ajali ya gari ya mafuta (Tanker) mali ya kampuni inayoaminika kumilikiwa na mtoto wa mkuu (Liz one) LAKE OIL kugongana na treni imefichwa ukweli hasa juu ya watu waliokufa. Vyombo vya habari vimetangaza idadi ndogo sana wakiwemo askari 2 wakati...
  12. S

    Ghala la silaha Gongo la Mboto lalipuka!

    mi nadhani inabidi jeshi nalo lichunguzwe inawezekana pia kukawa na hujuma kwenye mabomu haya. Mbagala, Gongs, kesho wapi?
  13. S

    Natafuta mchumba jamani

    wakuchakachua una degree ngapi? kama ipo/zipo ni fani gani? isijekua una degree ya lugha ya kiarabu
  14. S

    Natafuta mchumba jamani

    weka sifa zako vizuri zivutie mume mzuri, anaweza patikana mume mzuri lakini naye anapenda mke mzuri
Back
Top Bottom