May be I am naive, or may be I am optimistic, but to simply tell us that kwa miaka 10 ya jumuiya ya Afrika Mashariki tunasherekea wimbo wa jumuia does not sit well with me. Sidhani kama tulihitaji wimbo, sioni wimbo ukisaidia kitu chochote, kama ni watu kuwa wazalendo zama za kuhamasihwa kwa...