Recent content by Sally

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa - Tabata

    Kwa bei wasilianeni kwenye hiyo namba. Kiwanja hakina mgogoro wowote ila mwenye nacho anahitaji hela haraka aweze kwenda matibabu
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa - Tabata

    Kiwanja kinauzwa Tabata Plot No. 91, kiwanja kimepimwa na kina hati. Anayeuza ni mwenye mali. Kwa mawasiliani 0717 131 818 au 0784 455 858. Square feet 14,400.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Prefab Tanzania

    Kuna kampuni Tanzania wanafabricate hizo Prefab buildings Alaf Aluminium na Humanne Homes
  4. S

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa - Maji Matitu - Charambe

    Kwa anayehitaji kiwanja/viwanja ukubwa tofauti tofauti maeneo ya Madawa, Maji Matitu Charambe Mbagala. Wasiliana kwa no 0784 455 858
  5. S

    JamiiForums Tanzania Incubator toka U.K zinauzwa

    Ninauliza bado unazo incubators?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chakula cha mifugo kwa bei chee kabisa

    Mbona hakuna namba ya simu?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mil. 90 Zinahitajika kuokoa Uhai wa Dr. Ulimboka

    The earlier the better
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nauza chupa tupu (glass)

    Kwa anayehitaji chupa tupu za kioo (glass) ninazo nyingi naziuza kwa Dar Es Salaam.Anayehitaji awasiliane nami.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Miche ya nazi

    Hiyo miaka 10 ni mpaka ianze kuzaa? Muda gani inaanza kuzaa na unavuna kwa muda gani? Niko Dar Es Salaam niambie unauzaje
  10. S

    JamiiForums Tanzania Miche ya nazi

    Natafuta miche ya nazi kwa ajili ya kupanda. Ningeshukuru kupata mbegu ile ya muda mfupi.Naomba mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe aniPM
  11. S

    JamiiForums Tanzania kimbunga cha ajabu chapita Arusha

    Poleni sana wanaArusha .Kimbunga kimemfuata Baba Riz nini?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Power tiller/trekta ya kukodi

    Wadau, natafuta power tiller au tractor ndogo ya kukodi inilimie katika shamba langu dogo lililoko Bagamoyo.Ninaomba msaada
  13. S

    JamiiForums Tanzania Regia Mtema is No More!

    Ameonyesha njia ni wajibu wetu tuliobaki kuyaenzi aliyoyakusudia
  14. S

    JamiiForums Tanzania Trekta la kukodi

    Bado nahitaji trekta la kukodi jamani wapi naweza kupata
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

    Mimi kwa kuwa nilitaka kujua wamepata contact zangu wapi basi niliwaweka sawa wote na nikamwambia dr naenda kuchukua hela bank. Hiyo bank nikapandisha Cental polisi nikawaeleza. Walinipa askari kanzu na magari ya raia. Nikampigia dr akasema tukutane Muhimbili tukaenda. Ile tu tunakabidhiana hela...
Back
Top Bottom