Nami yamenikuta sikuwa najua nilihisi ni tatizo la mtandao hasa ukizingatia nipo nje ya dar es salaam wanakoiuza kwamba ndio ilipo 5g.Baada ya kufatilia huduma kwa wateja ndio wananiambia wako na user limit policy.
Mwanzoni kwa speed ya 10mbps cha 70000 kwa Mwezi haikuwa kuwekwa limit hiyo ila...
Kwa inategemeana na mahali ulipo kwani kuna maeneo mtandao A unashika sana wajati mtandao B unakuwa hafifu.
1.Fiber
Ndio chaguo lakwanza ikiwa upo maeneo yaliyofikiwa na mtandao wa fiber wa TTCL hasa maeneo ya mjini.Yapo makampuni binafsi yanasambaza fiber ila kwa gharama ya juu kidogo...
Habari Wakuu!
Je wewe ni mdau wa movie na series?
Zilizotafsiriwa ama Zisizotafsiriwa
Basi Tupo Kukuhudumia
Huduma tunatoa online na ofisini kwa bei poa
ZILIZOTAFSIRIWA
Movie moja Tsh.500/=
Kuuploadiwa (special request) Movie moja Tsh.1000/=
Sizoni Kila Episode Tsh.100/= Zikiwa zaidi ya 50...
2:117......na anapo taka jambo basi huliambia tu: Kuwa! Nalo huwa.
Kuhusu mungu kujiweka katika tumbo... Kwamba asipofanya ivyo basi hana uwezo...
Jibu ni kuwa Mwenyezi Mungu anauwezo wakufanya/kuamuru jambo lolote lakini sio kujizalilisha utukufu wake.
Natoa mfano ili ieleweke maana ya kuwa...
Biashara ya pochi ndogondogo za kike nainai chambuu
💥4000 Kuanzia pisi 20
🔥5000 Kuanzia Pisi 10
⚡6000 Kuanzia Pisi 2
🌟7000 Pisi 1 (Rejareja)
😋Unaweza kuuza 7000-10000
📍Tupo Morogoro Mjini
Mtaa Wa Konga
Jirani Na Aika Lodge
0713055107
ndugu unaelewa mana ya maneno haya hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza naona nakuelekeza kwamba iyo aya umeielewa vibaya ijapo ipo wazi tu wakati kila kitu wakiona hapo kwa kiswahili.Ivi hujui unaoneka mzushi tu mana maneno yapo wazi nashangaa unazidi kukomalia lililo wazi kabisa.Labda...
49:14 Mabedui wamesema: Tumeamini. Sema: Hamjaamini, lakini semeni: Tumesilimu. Kwani Imani haijaingia katika nyoyo zenu. Na mkimt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake, hatakupunguzieni chochote katika vitendo vyenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.15 Hakika Waumini ni wale...
kwa mwaka 2021 Mozambiq ilikuwa nafasi ya 82 huku Tanzania ikiwa 111.
https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_countries_by_electricity_production#cite_note-eia2021-2
Naamini kukamilika kwa mradi wa nyerere unaotarajiwa kuzalisha megawat 2115 sawa na 2.115Gwh so ili kuw akwa mwaka tutazidisha mara...
sijakuelewa but nijuacho dini haiongozwi/kufuatwa toka kwa mtoto wa mfalme bali hufuatwa kwa kurejea quran na hadithi sahihi katika vitabu vinne kama hadithi aliyotoa kwamba ipo katika alizozisema uyo mtoto wa mfalme sijui ila hatufuati toka kwa mtoto wa mfalme wala mfalme mwenyewe.
ACHA KUZUSHA KAMA HUJUI ENGLISH BASI ACHA NIKULETEE KWA KISWAHILI
17:59 Na hapana kinacho tuzuia kupeleka miujiza ila ni kuwa watu wa zamani waliikanusha. Na tuliwapa Wathamudi ngamia jike kuwa ni Ishara iliyo dhaahiri, lakini walidhulumu kwaye. Nasi hatupeleki Ishara ila kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.