Recent content by Salanga

  1. Salanga

    JamiiForums Tanzania The most prevalent diseases in Tanzania

    Asanteni sana Sekenke, Mwashelii,Paty,Jephta 2003,Zion Daughter..... I believe this will help me.
  2. Salanga

    JamiiForums Tanzania The most prevalent diseases in Tanzania

    Habari za siku nyingi wakuu. Natumai wote ni wazima wa afya. Ningependa kufahamu magonjwa yanayowasumbua watanzania kwa wingi. Hii ni kwa sababu ninasoma udaktari nje ya Tanzania na najiandaa kuwatumikia watanzania,hivyo kujua magonjwa common Tanzania inanisaidia kujiandaa vizuri kwa ajili...
  3. Salanga

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misaada: Tujadili hili...

    Kuna ted talk moja hivi Bill Gates anazungumzia bajeti, akasema BAJETI zinatengenezwa na watu ambayo uelewa wao katika maswala ya pesa ni mdogo sana na zina matokeo makubwa sana katika sekta zote za nchi na ni pesa nyingi sana. Alitumia neno scrutiny,, na kusema bajeti na mipango...
  4. Salanga

    JamiiForums Tanzania Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    Kuna mambo mengi sana ambayo hayapo katika syllabus yeyote ile rasmi duniani ,lakini vitabu vinapatikana kwa anayaetaka kjiendeleza binafsi na hatimaye kuwa star wa ukweli. Wengi mtasema GPA sijui CCM ,LAKINI NI KUJINOA na kuwa na uwezo mkubwa wa ku deal na watu na sio makaratasi...
  5. Salanga

    JamiiForums Tanzania ...naomba kufahamu kuhusu rank na ubora kati ya medicine ya tanzania na urusi...

    Nafikiri kuwa Dr. mzuri ni swala la kuutumia muda wako katika mazingira uliyopo,NI VIZURI KUJUA FUTURE YAKO. Anywhere,if ure a smart student pssibly u will be a good Dr.If ure smart ur profs will trust u and u can do wonders,mbona kuna wanafunzi wanafanya operation Cuba?,ambapo asilimia kubwa...
  6. Salanga

    JamiiForums Tanzania Vyeti vilinifanya nikawa inferior

    Namshukuru Mungu amenipa muda wa kujinoa kabla ya kuingia kwenye mapambano.Hii hali nilianza kuiona Kibaha ,wakati huo kama PCB DENT. I hope during summer will be able to share something with u friends.
  7. Salanga

    JamiiForums Tanzania **Msaada shule ya sekondari KIBAHA BOYS**

    Dogo Kibaha haimtupi mja wake. Tulikuwepo pale hadi 2009 A level,nenda ukasome then ukimaliza uje chuo tusome ,sawa!
  8. Salanga

    JamiiForums Tanzania Hongera Kibaha & Mzumbe secondary.

    Safi sana.
  9. Salanga

    JamiiForums Tanzania wanaotaka kuja kusoma India

    Bwana mkubwa naomba ukubali kubadilika ,usemayo si kweli .
  10. Salanga

    JamiiForums Tanzania wanaotaka kuja kusoma India

    Bwana mkubwa naomba ukubali kubadilika ,usemayo si kweli .
  11. Salanga

    JamiiForums Tanzania Hongera Maua Seminari kwa matokeo ya Kidato cha IV

    Hongereni sana Maua kwa matokeo mazuri. Mimi nina mdogo wangu pale ,hata sioni taabu kumpa chochote kile muhimu anachotaka. Well ninapenda sana wanavyolelewa watu seminarini. ,mimi nikiwa mmojawapo ya waliofadika ninawashauri ndugu zetu wengine muige mfano huu. Narudia hongereni sana Maua.
  12. Salanga

    JamiiForums Tanzania Great thinkers from Dungunyi SEMINARY ,,ARE YOU THERE?

    Wale mliopitia DS MAMBO VP?
  13. Salanga

    JamiiForums Tanzania Waziri wa afya kikaangoni!

    Even though working in Tanzanian hospitals is helping my fellows 'wananchi' but there too many risks to do that, something serious should be done.
  14. Salanga

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Madaktari: Serikali Yasalimu Amri! Yaomba Mazungumzo Upya!

    Huyu FF naye atafutwe kwa kuwaita madaktri 'uchwara'. Angalia vizuri dada yatakutokea puani.
  15. Salanga

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa madaktari: Kigwangwalla kufukuzwa CCM?

    TANZANIAN NEED AN EDUCATION ON PERSONAL DEVELOPMENT . Inatia huruma.
Back
Top Bottom