Recent content by Protector

  1. Protector

    Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Kwa nini tunafadhaika mioyoni mwetu? Tuziamini timu zenu tujiamini na sisi mashabiki. Timu zetu ni bora sana kama isingelikuwa hivyo zisingefuzu robo fainali
  2. Protector

    Kwa Yanga hii Mamelod lazima atoke, na Yanga atafika fainali

    Kuna wapenzi wa Simba wanaamini kwamba Yanga kupangwa na Mamelodi Sundowns hawatafika nusu Fainali. Kwangu mimi naona Mamelodi ni mwepesi kuliko Al Ahly. Kwenye hatua za mtoana Al Ahly anakuwaga wa moto kuliko kwenye magroup. Simba ndiyo ana wakati mgumu kuliko Yanga. Yanga anavuka hatua hii na...
  3. Protector

    Kuna tofauti gani kati ya Degree Holder aliye pita Diploma, na degree holder aliye pitia form 5 & 6 ( A level)?

    Ipo namna hii, watu wanasoma diploma sio kwamba wamefeli form 4 hapana. Mtu anaamua au anashawishiwa kwenda Diploma ili aajirike kirahisi. Kama inavyojulikana mahitaji mengi kwenye ajira ni diploma kuliko Bachela. Kwa hiyo anasoma Diploma na Bachela, Kazi anaombea Diploma akithibitishwa kazini...
  4. Protector

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hao ni mapacha ambao wanafanana sura sidhani kama miandiko yao inafanana pia. Wakitaka kutrace kwa mwandiko kama haifanani watakamatika tu.
  5. Protector

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Kama wataamua kuwa serious kufatilia hili wataangalia mpaka miandiko yao.
  6. Protector

    Kwanini haya Magari aina hii Toyota Fielder sio maarufu sana yana tatizo gani?

    Habari wana jukwaa, moja kwa moja kwenye mada. Kuna aina hii ya magari yanaitwa TOYOTA FIELDER naona kwa hapa bongo ni machache sana na ukikaa barabarani kuyaonayanapita ni nadra sana. Shida ni nini? Pia nimefatilia yanapouzwa yanakuwa na kilometer nyingi sana, mengi siyo chini ya 100,000km...
  7. Protector

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kwa kweli vumbi linatisha, halafu ni lile laini kama jivu
  8. Protector

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Voda ni uwezo wako tu, ukitaka ualike kijiji kije kitumie wi-fi bure ni wewe tu, piga mpaka 10TB kwa mwezi hakuna tatizo.
  9. Protector

    Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

    Hapo husevu chochote. Mtu aliyesoma Diploma miaka Mitatu akienda Bachela anasoma miaka mitatu. Na aliyesoma 5 na 6 akienda chuo kikuu anasoma miaka 4, kwa hiyo wote watatumia miaka 6. Pia kwenye soko la ajira siku hizi Bachela hawaajiriki sana. Kuna taasisi moja inadili na Engineering haiajiri...
  10. Protector

    Huenda kuanzia mwaka 2034 nchi itakuwa na vilaza watupu

    Kwa kuongezea hapa, kama umesoma Diploma (chuo cha kati) na Ukasoma Bachela (Chuo kikuu) unanafasi kubwa sana ya kupata ajira kwenye sector mbalimbali hasa sector binafsi. Kwa sababu wanaamini wakikuajili watakuwa wamepata fundi mwenye ujuzi na maarifa kwa wakati mmoja
  11. Protector

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Achana na mabweni, leta commercial building angalau 3 zinazojengwa
  12. Protector

    Kahama VS Njombe/Mafinga

    Jiji linajenga ghorofa moja kila mwaka sasa hili ni jiji au DC
Back
Top Bottom