Tatizo vijana wenzetu wamevurugwa na maisha na wanazidi kuji vuruga zaidi. Haya mambo ni imani maana kuna watu wamezaliwa katika familia au koo zenye kuendekeza ushirikina so wanafikiria kila jambo ni ndumba tu. Imagine, sampuli ya watu hawa wanakua wasindikizaji tu maana hata wakibahatika...
Pole sana kaka maana umetype kwa feeling until umeweza kuchanganya na lugha fulani. Ni ukweli usio pingika hio hali ipo katika jamii zetu na mitazamo ipo mingi sana, binafsi hio hali nimewahi kuipitia mwaka 2014-2015 na ilifikia wakati mpaka kutokua na maelewano mazuri na mzazi wa kiume kwa...
Kiongozi uliwezaje kuweka Dola laki 3 kwenye soksi na kuondoka nazo? Hivi ushawahi kuziona Dola laki 1 zinakua na muonekano upi? Nakutakia mafanikio mema mwaka mpya huu
Habari kijana mwenzangu, pole sana kwa hali ya kimaisha unayokutana nayo kwa sasa, nakupa pole sababu niliwahi pitia hali inayofanana na hio miaka 6 iliyopita nikiwa chuoni kama wewe ila ushauri wangu usiache hicho chuo wala ku postpone ni heri ukomae na ukubali hali yako ikiwezekana jiweke wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.