Recent content by rushaka

 1. R

  Closure of Refugee Camps Cause for Economic Pinch in Kigoma

  Closure of Refugee Camps Cause for Economic Pinch in Kigoma Leonard Mubali 23 March 2010 Kigoma — Kigoma region is beginning to feel an economic pinch resulting from the closure of refugee camps in the region, it has been learnt. Farmers operating close to the closed camps said during...
 2. R

  Hoteli ya kitalii aliyozindua Rais Kikwete yabomolewa

  Imevunjwa hotel au uzio wa hotel?
 3. R

  Emigani y’Ekihaya (Misemo ya kabila la wahaya)

  Gaziwa enzii Shuliza Kwatila aho Wekebuke Rashana Chwazika ............ ............ mube mulinzileho nyijuke endijo
 4. R

  Inaelekea Mbagala!

  Ndo usafiri wenyewe wa kibongobongo. Hizi DCM jamaa wanazifagilia kwa mapato. Unakamata mkweche mmoja unaupeleka salon, familia inaendelea kunawili. By the way, issue ya mabasi yaendayo kasi imeishia wapi?
 5. R

  Naomba mawazo juu ya project ya kufanya

  Usimkatishe tamaa mwenzako, even with 20 m unaweza kufanya biashara ya kueleweka mradi uwe na malengo. Problem ni kama hiyo saving ya Enny ndo anategemea kwa kila kitu kwa sasa. Biashara ya chakula inalipa na unaweza kuanza kwa amount hiyo.
 6. R

  Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

  Nasikia mwanamke akizoea sana kulamba koni mashavu yake yananywea kwa ndani.
 7. R

  Ufisadi umetuweka pagumu Pinda

  Kama serikali ya awamu ya nne ina nia tahabiti ya kuhakikisha kweli haiangukii katika mtego wa wengine haina sababu ya kuendelea kuwakumbatia mafisadi katika utawala wake. Kama samaki wachache wameoza kapuni wataambukiza wenzao.
 8. R

  Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

  Utaalamu wa kwenda chumvini hutofautiana kati ya mtumiaji na mtumiaji kama ilivyo kitendo chenyewe cha sex. Some do it right and some do it wrong. Response ya partner wako ndo itaonyesha kiasi gani umemkuna, lakini concentration kwenye critoris ni critical katika zoezi zima la chumvini kwa...
 9. R

  Makabila na tendo la ndoa

  Tendo la ndoa kwa wanandoa katika makabila mbalimbali huombwa kwa viashirio tofauti: ''Mchagga"........'We mama Haika, uko wapi? Ntaacha!!! "Mkurya"..........'Rara chini nikurenge!" "Mhaya"..........."Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"...
 10. R

  ilidondokea mdomoni tu,. mimba, inawezekana?

  Mti unapoanguka bila shaka matawi husambaa. Naamini wengine wameelimika kupitia kwako. Hata hivyo nakupa big up kwa kuwa open maana wengine wanafanya gizani na mwisho wa siku hufa na tai shingoni.
 11. R

  Dr.Slaa ashinda kesi ya uchaguzi!

  Nilitegemea hilo, hongera zake!
 12. R

  Kwanini Watanzania na Tanzania ni maskini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

  Poor Country, Rich Country by Ari Armstrong Following are a few contrasts between poor, developing, and rich countries. These are generalizations, so of course they admit exceptions. Still, I thought they were pithy. I'll consider this a work in progress, so if I think of additional points...
 13. R

  ilidondokea mdomoni tu,. mimba, inawezekana?

  Jamani, hata mkielimishwa kutumia kinga bado hamuelewi? Kinga sio kwa ajili ya mimba tu mzee, hata magonjwa ya zinaa. Kama uko tayari kumlea mwanao kama unavyodai, kwa nini ulikuwa unabother kuwithdraw? Ajali iliyotokea iwe ni funzo kwamba hata STD (ukiwemo UKIMWI) inaweza kutokea! Kwanza huyo...
 14. R

  NJAA YAJA: Dear Mr. President, On a Serious Note...

  Kingine ninachokiona ni movement ya chakula toka maeneo yenye ziada kwenda maeneo yenye upungufu. Kama bei zitakuwa juu zaidi kwenye maeneo ya upungufu huenda baadhi ya wakulima wakauza hata mbegu na kusababisha njaa zaidi. Kama serikali haikuwa strict hata movement ya chakula kwenda nchi za...
 15. R

  Baraza jipya la Mawaziri kujulikana Feb 12

  Hata mimi nimesikia habari za kuwasiliana na wapinzani. Nakumbuka JK alisema mwaka huu anataka aongeze ushirikiano na vyama pinzani, sijui ushirikiano to what extent!
Top Bottom