Vijana wa zamani wasingekuwa wavivu nchi za Afrika zingekuwa mbali kama nchi za Ulaya.
Acheni kuwasema vijana ambao mliwazaa ninyi na kuwalea ninyi.
Mtoto wa nyoka ni nyoka
Pole sana.
Usaliti ni kosa lisilo na Msamaha. Uliza popote pale sio mbinguni, kuzimu wala duniani.
Wengine watakudanganya usamehe ilhali utakuwa unajidanganya huku moyo ukiendelea kuumia.
Zingatia, kama hujawahi kumsaliti unahaki ya kumuacha.
Ongezea hii, angalia unayemsaidia au kumuinua. Wengi waliinua mashetani yakaja kuwageukia.
Waafrika ni maskini kwa sababu wanasaidiana kuliko uhalisia na bila akili.
Afrika tunaongozwa na mfumo wa Ujamaa, kusaidiana.
Mkuu leo ndio nasoma hii comment yako.
Watibeli ni Watu bora siku zote ambao hutaka kila mtu awe bora.
Wasaga sumu ni wale wasiotaka haki, ukweli, maarifa na upendo
Hizi data nu muhimu kwa vijana watafutaji.
Sio unajituma na kutumia nguvu kubwa alafu matokeo sisimizi kumbe changamoto ni eneo ulilopo.
Ahsante kwa ku-share data
Maendeleo ya kijamii
Maendeleo ya kiuchumi
Maendeleo ya kisiasa
Maendeleo ya kisayansi na teknolojia.
Hayo mambo ya ushoga, wizi, madawa ya kulevya, ubakaji, ulawiti, ufiraji yapo kwenye ishu ya kijamii. Kuyakomesha ndio huitwa maendeleo ya kijamii.
Kwa nini unasema Ni petty ishu Wakati huo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.