Wachache sana watakuelewa mkuu. Manake naona wengi ni wale wakusikia tu na kukubali bila kufanya analysis.
Ukweli ni kama ulivyosema hapo; umeme wa maji siyo wa uhakika kwenye "digital economy". Na hiyo ndo point kubwa ya Prof Muhongo. Mabadiliko ya Tabia nchi na matatizo mengine ya...
Duh!
Kweli Duniani kutegemeana, usimdharau mtu.
Hawa wafanyakazi wa umma wamenyanyaswa, wametishwa na wamedharilishwa kwelikweli.
Nakumbuka wakati mmoja siku ya wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) mmoja wa wateule wa Rais, mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda akiwatambia wafanyakazi...
Education Science itamsaidia: Atembelee vyuo kama Marian University College. Website: www.maruco.ac.tz
Kwa maelezo zaidi.
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Watanzani wenyewe ndo hawa! Kazi kwelikweli. Unaambiwa mradi ungetekelezwa kwa FDI wewe unazungumza Habari za hela ya Serikali! Sijui kama unaelewa maana ya FDI?
Kwa aina hii ya watanzania tusitegemee chochote cha maana.
Labda neno kuropoka lina maana nyingine. Kama lina maana yake ya asili basi unachofanya hapa ni uropokaji; alafu unamsingizia mtu mwingine kabisa kuwa na Tatizo lako.
Kwa shule za Sekondari ni sahihi. Kwa sababu mojawapo ya kazi ya shule za sekondari za madhehebu ni kufanya missionary activities. This can not be done at a higher education. Kudhibiti uhuru wa watu hasa wa kuabudi kwa sababu za kijinga chuo kikuu ni upumbavu na kutokuelewa.
Hivi nani aliwadanganya kwamba hivi vyuo vina taratibu zake?
Hivi vyuo vimeanzishwa kwa mjibu wa sheria za nchi na siyo sheria za makanisa.
Hivi vyuo vipo kwa ajili ya kugudumia pluralistic society na kwa mjibu wa sheria za nchi hasa katiba ibara ya 19, ni haki ya msingi kuwa na uhuru wa...