Recent content by Reena

  1. R

    Mwenye mawasiliano na vyombo vya habari huru.

    Jf ni zaidi ya vyote ulivyotaja weka mambo hapa itakua deliver
  2. R

    Dk cyrill nini kimemsibu??

    Jana alionekana kwenye TV amechoka sana kama sio mtangazaji kumtaja huwezi kumtambua anahitaji bado kupumzika.
  3. R

    Hongera jerry muro kwa kufunga ndoa

    Hongera Jerry!
  4. R

    CHADEMA kuongeza nguvu Igunga

    safi sana makamanda tupo pamoja
  5. R

    Kuolewa kuna raha zake!

    Wakulala nae? ha ha haaa hayo masaa 2 mengine kamalizia kwingine ndio unayaringia. Achana na kiumbe mwanaume bana
  6. R

    Mbunge Esther Matiku Hajui Kiswahili AU Mikogo tu ya Kiswa-english?

    Hata mie nimemsikia na nimemuelewa ila wakati wa kusubiri ajibiwe umeme ukakatika
  7. R

    RPC wa Kilimanjaro - Ng'hoboko hatunaye tena

    Au loliondo inajibu nini
  8. R

    Ex mawenzi sec school-moshi students tukumbukie enzi zetu

    Lil Beto lilikuwa muhimu sana sijui watoto wa sasa kama wanasogea hata jikoni. Halafu chakula kilikuwa kitamu kweli yani ukikosa unasikitika hasa. Typing ya Mgusie mie nilifanya zilikuwa zinaitwa Option. Kulikuwa na nedlework, cookery, PE sijui kama bado zipo woodwork, metal work, zilitusaidia...
  9. R

    Ex mawenzi sec school-moshi students tukumbukie enzi zetu

    Mama Msuya yupo shule moja ya misheni ya st. louis ni mwalimu mkuu pale. Tena bado yupo na ile pickup yake. Mama minja na mwishilio wa kila sentensi isintiti? teh. Mnamkumbuka mwalimu Nkya wa workshop ya wood akikuta hujachomeka shati au umekunja kidogo kwenye mikono adhabu yake utakoma. Vipi...
  10. R

    Matokeo ya kidato cha sita yatangazwa.

    Mozilla firefox ipo fast zaidi
  11. R

    Lema awasha moto Igunga

    Safi sana mueleze!
  12. R

    breaking news: Gbagbo kafariki

    happy foolish day
  13. R

    kwa babu loliondo video

    Usijali foleni imeanza kupungua kuna ndugu yangu aliondoka Arusha jpili usiku saa 3 akafika saa 12 asubuhi jtatu mchana saa 7 akanywa dawa then saa 8 mchana wakaondoka jtatu hiyo then usiku wa manane wapo arusha washarudi na dawa wamekunywa wao gari yao ilikuwa ya 200 walipofika hiyo saa 12 asubuhi
Back
Top Bottom