Recent content by Ettore Bugatti

  1. Ettore Bugatti

    Gazeti la Raia Mwema: Je, kuna ajenda ya udini?

    Kasome UHURU au WAMACHINGA..litakufaa zaidi.
  2. Ettore Bugatti

    Wanasheria msaada: Nimedhamiria kumshtaki na kumfunga mwanangu wa kumzaa

    Maoni yangu hayajakaa kisheria. Ni hivi mkuu, kama ni mwanao wa kumzaa na background yake kiakili yuko vizuri, yaani hana tatizo lolote la kiakili basi fanya kama umetoa SADAKA, mwache akapambanie kombe lake!
  3. Ettore Bugatti

    Ni wakati muafaka sera yetu kuruhusu kilimo cha Bangi na Miraa kama Mazao ya Kimkakati ya Biashara

    Ni uoga tu na upeo mdogo wa viongozi wa ccm, huku baadhi yao wakitumia bangi kama vibrurudisho vya kawaida tu. Hizo pesa za ufisadi na tozo jengeni walau hata viwanda viwili,3 vya kuchakata bangi na kuuza nje ya nchi, ikiwa mmeweka sera nzuri kumantain soko..muwa 'accommodate 'vijana. Sio kila...
  4. Ettore Bugatti

    Membe: Hutosikia tena Mtu ametekwa au kaokotwa kwenye kiroba

    Comrade Membe kaongea 'UKWELI MCHUNGU.'!
  5. Ettore Bugatti

    Katibu Mkuu CCM (Chongolo) amtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Pindi Chana kujiuzulu

    Blah blah as usual. CCM unafki ni kama ngozi na damu.
  6. Ettore Bugatti

    Ole Mushi: Tukubaliane sasa kuwa tumwache apumzike

    Mkuu hili halitowezekana abadani.
  7. Ettore Bugatti

    Ole Mushi: Tukubaliane sasa kuwa tumwache apumzike

    Furauni, Mussolin , Hitler, Idd Amin Dadaa, Mobutu nk mpaka leo wanasemwa iwe kwa mazuri au mabaya sembuse Magufuli ..bado anasemwa, na atasemwa sana tu.
  8. Ettore Bugatti

    Baada ya vifo vya Said Oswayo na mkewe, Swalha Salum mali zinatakiwa kwenda katika Familia ya Mke au Mume?

    Mambo mengine tuwaachie wenyewe wanafamilia. Wale 'wambea' na 'waandishi makanjanja ' ili wauze viblog vyao uchwara wasubiri matukio ya mahakamani. Maana naona hii mechi itaenda mpaka dk 30 za nyongeza.
  9. Ettore Bugatti

    Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Huyu mwanamke ni kiraka anatafuta nguo ya kumziba.
  10. Ettore Bugatti

    Joseph Mbilinyi (SUGU) awasha moto Serena Hotel kwenye birthday yake, Rais Samia ahudhuria

    Akili ya kwenye kichwa kimoja cha Sugu ni sawa na wabunge 20 wa CCM..hadi Mwenyekiti. Unaona hadi kawa convince wamehudhuria show.!
  11. Ettore Bugatti

    Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Huyu feminist kaanza kitambo sana 'utoto' wake. Ni mmoja wa watu wanaosababisha wanawake kuuliwa vifo vibaya sababu ya ushauri wake wa kipuuzi puuzi!
  12. Ettore Bugatti

    Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Darasa la saba huyu hajitambui na umri unazidi kumtupa mkono.!
  13. Ettore Bugatti

    Joyce Kiria ni aina na mfano wa wanawake wa kuwakwepa kuwaoa

    Hata sura ile vipodozi vimemkataa kabisa, halafu anakuja na drama za kununuliwa wigi la 5mil. Disgusting!
Back
Top Bottom