Mkuu ingawa sijawahi kulima tikiti lakini najua tikiti lina shina moja tu hata kama limesambaa kiasi gani, kwa hiyo umagiliaji wa namna hii sijui kama utakuwa na tija. nivizuri kumwagilia shina tu.
FUSO: Mimi nadhani ni muhimu kwa wafugaji wetu kwenda Kenya na kujifunza ni njia gani wanatumia hadi gharama zao za uzalishaji zinakuwa chini kiasi hicho. kama serikali yao ina wasaidia kwa kiasi fulani basi tuomba na sisi serikali yetu itusaidie. Lakini tunapokuwa kwenye soko huria tusikimbilie...
Gogozito: Mimi niko Dar maeneo ya Tabata Segerea sasa maji huku ni issue na nikiangalia maji yote yanayopatikana ni ya chumvi. unaweza kutuelimisha kidogo ukichimba hizo metre 90 ni lazima upate fresh water? na kama unafahamu gharama za uchimbaji na gharama zingine za vifaa. Hebu tujuze kidogo...
Jumapili Mtoto wa mkulima alisema Ulimboka hakumaliza internship yaani alifukuzwa kabla ya kumaliza na hakuna ushahidi wowote kuwa alifanya baadae ingawa alisamehewa na Rais Mkapa baada ya mgomo.
Njia rahisi ya kupata gharama za kujenga na hasa tofali ni kuhesabu tofali ambazo wewe unakwenda kujenga.
Mfano kama nyumba yako ni ya tofali 3,000 basi tofali moja wanajenga kwa 350 na hii ni bei ya juu hivyo 3,000x350=1.05M.
Sasa hiiyo itakupa picha angalau wakati unaongea na fundi kuweka...
Sijui unakaa maeneo gani lakini kama kuna gereji au soko yaani mahali penye watu wengi. Unaweza ukanunua baiskeli (pia sijui huko itakuwa shilingi ngapi) halafu watu wakawa wanakodisha na kurudisha. Nakumbuka hapa wanatoa 300/= hadi 500/= kutegemeana na umbali. Unaweza weka mbili ukipata watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.