Recent content by raffiki

  1. R

    Viongozi wa propoganda wakitoswa chaguzi za mwaka huu CCM kushinda 2015 bila kutumia nguvu.

    Wee waache wafanye mzaa na masiharaa...unajua utawala upya ukija 2015 iwe isiwe lazima kuza asilimia sio chi ya 30 iliyopo kwenye top system itabadilishwa au kutolewa hapo ndio kama wakiendelea na mapropoganda na kujuana kwao ndio watakapoumbuana na nchi kutokutawalika kama inavyoonekana...
  2. R

    Viongozi wa propoganda wakitoswa chaguzi za mwaka huu CCM kushinda 2015 bila kutumia nguvu.

    Habari JF, Chama tawala mwaka huu kinachakua viongozi wake toka shina hadi taifa..,hadi sasa mwenendo unaenda vzr...wanancchi kwa saa wanasubiri final team ya CCM hasa ngazi ya taifa...., Kwa maana hiyo basi ni wakati muafaka wa CCM kutimua mavuvuzela wote ambao kazi yao nikujitagfutia...
  3. R

    Bado kuna mwenye imani na kikwete pamoja na serikali yake?

    tutakuwa na imani nae kwa kuangalia baraza la mawaziri atakalounda sahivi baada ya kelele zote za wezi kipindi cha serikari yake:::akiwarudisha maswahiba zake na wezi kama yule mama wa wizara ya sheria ambaye mwanzoni alifuja sana pesa za umma akiwa tamisemi::basi hapo tutakosa imaninaye atakua...
  4. R

    Baraza jipya la mawaziri litakuwa ni la manufaa nchini iwapo tu haki itatendeka

    Kuwatoa kwenye baraza la mawaziri tu haitoshi....inatakiwa warudishe na fedha za umma walizovuja na na maharamia wa nchi hii..ikiwemo kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria.
  5. R

    Swali la January Makamba leo bungeni linaibua swali kwake

    Mh. J. Makamba leo ameuliza swali ambalo msingi wake tulio wengi tuliokua tunaangalia uchaguzi wa wabunge EA hatukuelewa nia yake. Kauliza "nukuu": Anaomba ashawishiwe na mwanamama daktari wa Hisabati kuwa kwanini asifundishe Hisabati chuo kikuu maana ni somo lenye matatizo hapa nchini na...
  6. R

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Kwani hao wasanii wanaishi angani?hakuna anayefanya kazi humu duniani hata huyo msanii asiye na lengo la kupata pesa. wasomi ni wengi lkn hawapewi nafasi na hoja zao zinatupwa nje au kuwekwa pembeni maana zinaharibu msingi wa wasanii,na wanapojaribu kutekeleza tu wanaharibiwa na wasanii...ni...
  7. R

    Wasomi wa Tanzania wametoa mchango gani kwenye Taifa letu mpaka sasa?

    Hapo ndio umeonesha matatizo yetu sie watanzania, nchi hii haiwezi kutoka kwnenye umasikini kwa sababu ya mawazo kama yako best.....fikiri hizo paper unazoongelea matokeo yake yangekua yanafanyiwa kazi na wananchi pamoja na serikali kwa michango yetu wenyewe bila kutegemea fund toka nje...
  8. R

    Vijana wa kuongoza na kulikomboa taifa letu bado hawajatokea waliopo walipalilia njia

    Kwa mtu anayefikiria kwa makini na kufatilia historia za nchi tofauti duniani atakubaliana na mie kwamba, kuwa kijana tu mwenye uwezo wa kujenga hoja na kuadaa wananchi sio kigezo cha kuwa ndiye mkombozi wa taifa hili. Ulishaona wapi hata kwenye vitabu vya mungu mpigania ukombozi wa nchi akawa...
  9. R

    Kwanini wapenzi na mashabiki wengi wa CHADEMA hawamuamini tena Zitto Kabwe?

    Hii ndio sababu kaka period,aahah aha hhaa ila kuwasalimia wasalimie tu kakaa ndio siasa hiyo ukiicheza una win ukizubaa unapotea..kama anavyopotezwa aliyekuwa ndugu yetu zamanii..a hahahaaa ahahhahah
  10. R

    Kwanini wapenzi na mashabiki wengi wa CHADEMA hawamuamini tena Zitto Kabwe?

    Mtazunguka na maneno mengi..,ni kweli zito watu wengi wazee kwa vijana wameshapoteza imani naye. Sababu kubwa ni moja tu nayo ni kuwa zito alipendwa na watu wa lika zote kwa kutetea nchi na wananchi kwa dhati kbs.,baada ya muda zito akageuka kuwa rafiki na mtetezi wa aliokuwa akiwapinga kwa...
  11. R

    Rais Kikwete ateua mabalozi wapya. Marmo, Batilda na wengine ndani!

    Simple question?kwanini unasifia kuteuliwa kwa hao uliowataja bila kusema wasifu au uhodri wao uliokupelekea kuwasifia..angali unaowaponda una mention kuwa hawana record ya uchumi..hao wako wana record gani kwa uchumi wetu unaoyumba kila siku?au ndio hivyo wkiteuliwa rafiki au ndugu zako...
  12. R

    Unafiki wa Nape, CCM kuhusu ongezeko la posho kwa wabunge huu hapa

    Hii ndio bongo kila idara....Ushauri kwa Dr. Slaa na wenzake,wamyamaze kama Dr.Salim na Magufuli,hakuna haja ya kupinga kitu tena shv...watulie kbs nichi iende kama itakaavyooenda na sie wananchi tuuumie ipasavyoo hata kila kitu kiuzwe wapeane posho sawa tu...ikifika 2014 wananchi ndio wataelewa...
  13. R

    Dr Slaa atolea ufafanuzi Kuongezeka kwa posho za wabunge

    Mbon amie naona shahara huo ni mdogo kwa kazi anayoifanya kwa taifa hili?????Milioni 7...ameokoa ngapi kwa kufichua wezi na mikataba mibovu?ebu semaa hao watu wako unaowasfu kila siku kweney post zako humu wanaopenda sanaa kuandikwa kwenye agazeti wanalipwa ngapi na wametenda mema yapi kwa jamii...
  14. R

    Dr Slaa atolea ufafanuzi Kuongezeka kwa posho za wabunge

    Ndio maana nasema Dr.Slaa aungane na watu kama Salim na Magufuli...wajenge nchi yetu..Issue sio posho ya wabunge,issue ni mishahara ya wabunge na malipo wapatayo yote ni makubwa mno. Nashangaa wanasiasa amboa wanapinga mie nawaita ni watafuta umaarufu kama alivyosema Shibuda,ni wapigakelele tu...
  15. R

    Nyerere: Salaam zenu mnaomkejeli!

    nyerere ni baba wa taifa na rais bora bado nashangaa hata mchambuzi kutoa opportunity ya ku rank rais bora wakati kwa tuliokwisha kuwanao hakuna aliyemfikia kwa ubora hata nusu ni nani?kwa hizo statistics?ulishaona wapi mtu,mti,nchi na hata umri kadri muda unavyokwenda mbele kunakuwa hakuna...
Back
Top Bottom