Recent content by Ambakucha

  1. A

    John Heche asituingize chaka kwenye Sheria mpya ya Bima ya Afya

    Wadau poleni kwa kazi. Nikienda kwenye hoja ya msingi, Ijumaa iliyopita bungeni, Mbunge wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Ahmed Shabiby akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2024/2025, aliiomba serikali kuweka tozo ya Shilingi...
  2. A

    Mke wa mfanyabiashara maarufu Dar kortini deni la Mil. 20

    Dina Mgala, mke wa mfanyabiashara maarufu wa maduka ya kufua nguo kwa machine jijini Dar, Khalid Laundry amefikishwa katika kizimba cha Mahakama ya Mwanzo, Ilala Mtaa wa Pangani akidaiwa kuingia mitini na Shilingi Milioni 22 za mjasiriamali anayejulikana kwa jina la Zenna Kengera au maarufu Anti...
  3. A

    Shabiby yatajwa kuwa kampuni bora ya usafiri wa Mabasi nchini

    Wadau poleni kwa majukumu ya kila siku. Kwa mujibu wa utafiti wa kina, Kampuni ya Mabasi ya Shabiby Line ndiyo watoa huduma bora nchini. Shabiby Line yenye huduma ya usafiri kwa madaraja ya kawada hadi VVIP wamepewa Tuzo ya Watoa Huduma Bora Tanzania (kwa usafirishaji kwa njia ya mabasi) ikiwa...
  4. A

    Rafu mbaya uchaguzi CCM mkoa wa Morogoro

    Mkoa wa Morogoro ulifanya uchaguzi wake wa kumpata Mwenyekiti wa Mkoa ambapo rafu mbaya akichezewa mgombea Nasoro Duduma aliyekuwa mmoja wa wagombea. Baada ya uchaguzi huo uliyompa ushindi James Masunga, baadhi ya wajumbe walionekana kumwoneshea kidole Mbunge wa Morogoro Vijijini, Inocent...
  5. A

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini: Wasanii, Madaktari waiangukia Serikali na kuishauri

    Kupanda kwa bei ya mafuta nchini… WASANII, MADAKTARI ‘WAIANGUKIA’ SERIKALI, WAISHAURI JUZI, Serikali kupitia Ewura, imetangaza bei mpya ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa ambapo mbali na mikoa mingine, Mkoa wa Dar es Salaam, Lita 1 ya Petroli imekuwa Shilingi 3,400 (ongezeko la...
  6. A

    Tenda ya kuingiza mafuta nchini yadaiwa kutolewa kwa 'uswahiba', mmiliki wa Super Markets za TSN atajwa

    Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara hiyo. Kwa mujibu wa mtoa habari mmoja wa ndani ya wizara hiyo, kigogo huyo amewapa tenda...
  7. A

    Mchungaji TAG amshauri Rais Samia, amuunga mkono Mbunge Shabiby

    Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Mbagala-Dar, Arist Bukombe amesema endapo serikali chini ya Rais Samia itaruhusu mfanyabiashara yeyote mwenye uwezo wa kuagiza mafuta toka nje, afanye hivyo itapunguza bei ya bidhaa hiyo ambayo kwa sasa imefikia Tsh. 3000 kwa Lita...
  8. A

    Wolper 'amsapraiz' baba mtoto wake kwa dhahabu ya Tsh. Milioni 25! Leo Birthday ya Rich Mitindo

    Nyota wa Sinema za Bongo, mjasiriamali na mwanamitindo anayepanda kwa kasi nchini, Jacqueline Wolper 'amevunja kibubu' kwa kumnunulia baba wa mtoto wake, Richi Mitindo zawadi ya cheni mbili, pete moja, vyote vya madini ya dhahabu (gold) kwa thamani ya Shilingi Milioni 25 ikiwa ni 'sapraizi'...
Back
Top Bottom