Recent content by PTER

 1. PTER

  News Alert: Mlimani City, Dar: Rais Samia ongea na Wazee wa Dar es Salaam

  Watu waliweka rehani uhai wao kwa kuogopa mtu mmoja
 2. PTER

  News Alert: Mlimani City, Dar: Rais Samia ongea na Wazee wa Dar es Salaam

  Wazee badala ya kwenda kutoa nasaha wao wanaenda kuomba bima tu ?
 3. PTER

  Mrisho Gambo umehadaa wapiga kura. St. Jude ilivuka vikwazo ikiwa upande wa watesi wao

  Gambo ni kielelezo cha unafiki wa UVCCM
 4. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Kwa jibu lako hili maana yake hoja ya Kishimba ni Faulty.
 5. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Kwa hoja yako hii unataka watu wasisome vyuo kwa sababu hakuna ajira ?
 6. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Utasoma practical bila theory kile unachokisomea ?
 7. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Kusoma na kuandika ulizaliwa ukiwa unajua ? Kutoitumia elimu yako mwenyewe ni tatizo la elimu au la kwako mwenyewe kutoelimika ?
 8. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Kwahiyo mwalimu apewe degree yake baada ya kufaulisha wanafunzi? Na political scientist je ? Dogo unajadili jambo zito ambalo huna uelewa nalo. Nenda kajitafutie mkate tu
 9. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Kwahiyo watu wasipewe degree kwa sababu msukuma hana ila ana manufaa kwa jamii?
 10. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Kwa jibu lako hili hata msingi wa hoja yake haupo. Ungekuwepo ungeusema
 11. PTER

  Mbunge wa Kahama Mjini ashauri Vyuo Vikuu kuwajibika kutafuta ajira kabla ya kusajili Wanafunzi

  Anajadili kitu cha msingi kwa hisia binafsi badala ya utafiti kwanza. Anaichukulia taaluma kwa 1+1=2 kitu ambacho siyo sawa.
Top Bottom