Recent content by fixer

  1. fixer

    MWANZA: Mwandishi wa Mwananchi akamatwa na kushikiliwa na Jeshi la Polisi

    Mwanza. Mwandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Mwanza, Jonathan Musa anashikiliwa na polisi kwa mahojiano kuhusiana na taarifa za watu kukamatwa na vichwa vya binadamu zilizozagaa na kuzua taharuki miongoni mwa wakazi wa eneo la Nyakato jijini humo. Kamanda wa...
  2. fixer

    Acacia yapunguza wafanyakazi tena

    Dar es Salaam. Kampuni ya uchimbaji madini ya Acacia, imepunguza wafanyakazi, kwa kile ilichokiita mabadiliko ya kiutawala. Pia imetaja sababu nyingine za kupunguza wafanyakazi kuwa ni katika mpango wa kupunguza gharama wakati huu ambapo serikali imezuia usafirishwaji wa mchanga wa madini. Hii...
  3. fixer

    TANESCO: Tatizo la umeme litamalizika muda mfupi ujao

    Kwa kweli Twiga mzembe ananifanya niwaze kuhusu mabadiliko
  4. fixer

    Mwanachama mpya jaman

    karibu sana mkuu
  5. fixer

    Nawapenda

    Karibu sana mkuu
  6. fixer

    New comer nduguzanguni

    Karibu mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au...
  7. fixer

    Jf is much far better...I Like to be here !

    Karibu mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au...
  8. fixer

    Makuzi

    Karibu Mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au...
  9. fixer

    hodiiii.......naomba msamaha

    Karibu sana mkuu SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo: 1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote. 2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake...
  10. fixer

    Nikaribisheni Msema hovyo

    Asante kwa kujiunga. Tafadhali pitia link hii hapa chini ili kuweza kufaham sheria zinazotulinda hapa JF. https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/61942-jamiiforums-rules.html Xyln.
  11. fixer

    I've come to set this forum on FIRE!!

    Karibu sana Geronimo.... but kabla hujauwasha huo moto wako....tafadhali pitia hii link hapa chini: https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/61942-jamiiforums-rules.html Xyln.
  12. fixer

    Happy Birthday Maxence Melo LIVE LONGER!

    .....Happy Birthday Maxence! May u live to blow a 100 candles.... With life full of happiness and success! **Coming for my share of cake!
  13. fixer

    I need someone to talk

    Please do.....
Back
Top Bottom