Recent content by Princep

  1. Princep

    Haya ndio magari chaguo langu

    Mimi Discovery 4 knob gear au 5 ya 2022 Mungu ajaalie Mwaka huu nimiliki moja
  2. Princep

    Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Toka nimeanza kuwa na Unlimited internet sijawahi kuhitaji kuangalia chochote kwenye visimbuzi
  3. Princep

    Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Siku ambayo angepigana na Dullah Mbabe au yule jamaa mjeda ndio siku ambayo angechezea kichapo kama mtoto mdogo. Wabongo wamekomaa sana miili yao na wanaweza tofauti na wote ambao amewahi kupigana nao Nje ya Nchi na ndio maana hua anaogopa na hataki kupigana na Mbongo kwa sababu anajua...
  4. Princep

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Baada ya kufanya malipo ni muda gani umefika mpaka kukabidhiwa?
  5. Princep

    Tamu na chungu ya safari yangu ya Agosti 24, 2023 Kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Sipandi Basi lisilo na usajili wa namba chini ya T***DXA Sana sana sasa napanda Namba E tu!
  6. Princep

    Siungi Mkono Kujengea makaburi

    Acha ubahili. Acha makasiriko. Acha wenye Afya ya Akili watumie Akili zao zinavyowatuma.
  7. Princep

    Ishu ya Msuva ni GSM au Mo Dewji nani kuibuka mshindi?

    Blaza Mwamedi akiamua Saa saba anatambulishwa
  8. Princep

    Natafuta mume, awe HIV+

    Allah akutilie wepesi na upate Zaidi ya hitaji lako Dada.
  9. Princep

    Napinga Rais kuhudhuria Sherehe ya Simba

    Utopoloz On the one and Two’s
  10. Princep

    Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

    Tulia Dawa ikuingie …!
  11. Princep

    Top Manyota Top Manyota, Chesko mzee wa Matunda, Manka Mushi, Baba Askofu

    Naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammmnhh!!!
  12. Princep

    Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Afya ya Akili inazidi kutapakaa kila kukicha. Kati ya Dalili zake ni Kujiona Unajua sana, Unajua Vingi, Hushindwi kitu, Haukosei. #WaoneWataalamuWaAfyaYaAkili Kuna mahali Hakuko sawa.
Back
Top Bottom