hata mwanadamu ni mnyama pia,walitaka kujua kama kweli unaupenda uanadamu au mnyama mwingine!kwanini usijipende hivyo ulivyo?walitaka kujua pia kama kazi utapewa je utaipenda au utatamani kazi sehemu nyingine
mwalimu mzuri anatafutwa na sio mwanafunzi anayetafutwa,nenda bodi ya uhasibu(NBAA) wakupatie orodha ya review class provider(kama kweli wewe ni mwanafunzi)
utumishi wa umma huwa wanatoa majina kwenye web yao kwa wale waliochaguliwa,baada ya kutoa majina kwa nafasi zilizokuwa zimetangazwa huwa kuna watu ambao huwa wanakuwa wamefikisha vigezo vyao vya ufaulu na hawa huwa wanapigiwa simu kwa nafasi ambazo hutokea ambazo hazikutangazwa kabla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.