Recent content by kantalambazi

  1. kantalambazi

    Sasa ni dhahiri kwamba Nape Nnauye anaumwa na anahitaji msaada wa daktari

    Akisubiri mpaka atoswe ataambulia manyoya tu bora ungemshauri asepe Sasa hivi manake mda huo atakua time barred already.Dynamics hazitamruhusu kupata u MP.
  2. kantalambazi

    Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Weka takwimu kuthibitisha madai yako.
  3. kantalambazi

    CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Wanakula kwa kufanya kazi na si kwa kushinda kutwa kwenye mikutano ya hadhara.
  4. kantalambazi

    CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Umenukuu kwa maana ipi wakati umeni quote km wewe siyo kishoiya wa kiwango cha lami?
  5. kantalambazi

    Hapo mwanzo mtu alimuumba Mungu kwa mfano wake

    Ukisema hayupo ukamkuta yupo ndipo utakapokojolea chupi.
  6. kantalambazi

    Rais Magufuli, mimi kama Mtanzania nakuomba Radhi

    Wewe msahalifu sana, kwani uhaba wa madawa umeanza awamu hii, mbona hata kabla uhaba uliokuwepo tu?
  7. kantalambazi

    CCM Kwanini mnataka Makamanda Edward Lowassa, Freeman Mbowe Na Frederick Sumaye Wajiuzulu Siasa?

    Anayefikiria kua kuna watu hufikiria kwa kutumia makalio yeye ndiye akili zake ziko kwenye makalio na hufikiria kutumia makalio yake.Wewe ni mmoja wao kwa uliyoandika hapo juu.
Back
Top Bottom