Recent content by Fundi mahiri wa ujenzi

  1. Fundi mahiri wa ujenzi

    Rais Biden kuwafungia sola kaya 900,000 masikini nchini Marekani

    Si kwamba umeme unakatika hiyo ni kwaajili ya kupunguza matumizi ya umeme
  2. Fundi mahiri wa ujenzi

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Kuna maduka yanayotoa kamishem kwa mafundi kwahiyo siyo lazima kwamba akikuelekeza duka eti anania ya kukuibia. Pia boss akiwa muungwana ni ngumu sana kuibiwa na fundi.
  3. Fundi mahiri wa ujenzi

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Ni umasikini tu, lkn kazi inatakiwa ifanywe kwa mkataba. Changamoto ya umasikini wetu ni kwamba .Boss anatafuta mbinu ya kumlalia fundi .Fundi anatafuta mbinu ya kufidia kile alichomlalia boss KAMA UNAJITAMBUA ACHANA NA KAZI ZA KIMAZOEA. Fanya hivi 1. Tafuta fundi then angalieni gharama ya...
  4. Fundi mahiri wa ujenzi

    Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Jambo jema, hakikisha mapatano yenu yawe win win stution
  5. Fundi mahiri wa ujenzi

    Mwanadamu, ujasiri wa kumnyang'anya godoro masikini unayemdai umeupata wapi?

    Mungu na awabarikie wote wasaidiao binadamu wenziwe, hiyo ndiyo IBADA na DINI ya KWELI. HAKUNA CHA ULOKOLE WALA UKATOLIKI BALI DINI YA KWELI NI KUSAIDIA WASIOJIWEZA IBADA YA KWELI NI KUSAIDIA WASIO JIWEZA DHEHEBU LA KWELI NI KUSAIDIA WASIO JIWEZA. YAKOBO 1:27
  6. Fundi mahiri wa ujenzi

    Angalia jela hiyo ughaibuni

    Nyie ndio mnasema bora uzaliwe mbwa Ulaya
  7. Fundi mahiri wa ujenzi

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Kikosi cha leo cha ushindi. Jazia hapo 1. Diara 2,....... 3........ 4........ 5........ 6....... 7...... 8...... 9..... 10....... 11.......
  8. Fundi mahiri wa ujenzi

    Hivi ni kweli alama za viganja vya mtoto ni lazima zifanane na za baba yake

    Kuna mahali umetokea ugomvi kisa alama za viganja vya mtoto havifanani na baba ake. Je, kuna ukweli wowote wa hilo jambo?
  9. Fundi mahiri wa ujenzi

    Wasipokuwa makini kwa hili nchi itajigawa kimakundi

    Na uzuri wake ni kwamba uchawi wa mwanamke ni limbwata tu.
  10. Fundi mahiri wa ujenzi

    Wafuatao wamefunga ndoa na umaskini. Na ni ngumu ndoa zao kuvunjika

    Yafaa nini kujikusanyia madolali mengi, unajenga mijengo mikubwaa , yaani unajinyima vya kutosha ili uwe tajiri........mwisho wa siku unakufa Tafsiri ya maisha iko leo. YANI FURAHIA KILA ITWAYO LEO MAANA KESHO SI YAKO.
  11. Fundi mahiri wa ujenzi

    Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

    Possession haifuzu, bali magoli yanaiwezesha timu kufuzu
  12. Fundi mahiri wa ujenzi

    Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

    Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game. KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI. NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
Back
Top Bottom