Recent content by Plan Paris

 1. Plan Paris

  TANESCO wamejipanga kupata hasara ya Tsh. Trilioni 13.34 kwa miaka mitano ijayo

  Hongera kwa waziri na bodi mpya kwa kujipanga kupata hasara ya trilion 13. Maajabu
 2. Plan Paris

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Kwahiyo unataka kusema magari yanayotoka Dar kwenda Bukoba kahama yanafika saa 7???
 3. Plan Paris

  Tuacheni kumsingizia January Makamba mambo mazito namna hii

  Mimi huwa simkubali huyu jamaa tangu akiwa waziri wa mawasiliano Alileta sheria za makosa mtandaoni
 4. Plan Paris

  Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

  Mkuu unashindwa kuelewa kuwa huu mgao wa umeme ni michongo ya watu
 5. Plan Paris

  Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

  Siku hizi kila kitu hovyo umeme unakatika hovyo, maji hovyo
 6. Plan Paris

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Ndo hivo mkuu, Nikaanza kushindia mihogo ya miatatu, Cha ajabu nilikaa siku chache nkapata pesa za kutosha.
 7. Plan Paris

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Nilikuwa nmechoka sana maisha yamenipiga, stress kama zote, mfukoni nina elfu tatu mia tano tu, Nikaenda kukaa kwenye reli ya SGR ilikuwa mida ya jioni, huko huwa kuna upepo mzuri, pia pembeni kuna kituo cha dala dala, kwahiyo unakuwa unawaona wote wanaoshuka na kupanda kwenye dala dala...
 8. Plan Paris

  Mji wa Ifakara ni mzuri kuliko Njombe mjini

  Zoom hii picha, utaona hizo nyumba zinakaribia kumezwa na maji, hii picha niliipiga kama unaelekea stendi hapo kati kati kuna bonde mvua zikìnyesha mafuriko kama yote
Top Bottom