Recent content by pipikali

  1. pipikali

    Kampuni ya Silent Ocean China hawapokei tena lose cargo, wanapokea makontena tu

    Nashangaa watu wanaposhabikia hili bila kuangalia athari zake wa watanzania ambao wanaanza kuinukia. Watakaofaidika na haya ni matajiri wakubwa, wachina na wahindi. Serekali iangalie upya hili. Iweke siasa pembeni. Waafrika mtanendelea kuwa wanunuzi tu kwenye maduka ya wageni. Hii kitu imewatoa...
  2. pipikali

    January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

    Kuna mtu alishatoa kiapo hapa kuwa zito akishinda ubunge atatembea bila nguo, kutoka kibaha mpaka posta. Sasa hatujui aliishia wapi. Wewe je?
  3. pipikali

    Wako wapi washabiki wa Kikwete?

    wanakwangua nazi, leo wanapika ubwabwa wa nazi na samaki.
  4. pipikali

    Ninatangaza rasmi kuwa nitagombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, mweshimiwa supika deo kisandu.
  5. pipikali

    Mwendesha mashtaka mkuu wa ICC ameyakataa madai ya Lowassa na Mbowe.

    mama wa gabon, hahahahah haujui hata fatou anatoka wapi, toka lini the gambia ikawa gabon?
  6. pipikali

    Lubuva: Nec liko jambo haliko sawa, tupe ufafanuzi wa usahii wa hesabu zako

    Sham erection sorry sham election
  7. pipikali

    Tabia hizi za kinadada sizipendi, bora nisiwe na msichana

    Siku hiyo hiyo unaanza kusomewa Litania ya matatizo
  8. pipikali

    Nyongeza: Chaguzi zetu ni sambamba, siyo moja

    Mwanakijiji Du, i see yaani mzee mwenzangu umefikia hivi kweli. Invisible siku mkirudisha kitufe cha "like", mrejeshe na cha "unlike".
  9. pipikali

    CCM kukata rufaa kwenye majimbo 4, yalaani Wafuasi wa UKAWA kuchoma moto ofisi za CCM

    Hivi wale waliomfungulia Lema kesi waliwahi kulipa gharama za kesi?. Vipi wale wa Tundu Lissu
  10. pipikali

    Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Kagame bwana, kweli anaijua Tanzania kuliko tunavyodhani.
  11. pipikali

    Hivi kwanini kila ninachokifanya mke wangu haridhiki?

    ndoa ni pasua kichwa i see. Pole sana,
  12. pipikali

    Mbowe: A Dangerous Shift Against Democracy in Tanzania

    By Freeman Aikaeli Mbowe Chairman of CHADEMA – Party for Democracy and Development in Tanzania Last Saturday, we in Tanzania kicked-off our official campaign season that will culminate in elections at the end of October. Twenty four million Tanzanians are registered to vote to elect a new...
Back
Top Bottom