Recent content by Perth

 1. Perth

  Majibu kwa Ontario kuhusu kuitwa tapeli wa Biashara ya Forex kupitia TMT

  Naskia kavuta jaguar dogo hana utani
 2. Perth

  Hasara zipi unazipitia kwa kuwa na tabia za introvert?

  Nakosa marafiki wapya, niliozoea mupiga nao story kama hawapo basi ntaenda kulala, sipendi kumkwaza mtu aibu itaondoka nikilewa
 3. Perth

  Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

  Karibu nawe uuze njugu hutodaiwa kodi zaid ya kitambulisho
 4. Perth

  Huyu ni yule tuliyemsubiri au tuendelee kusubiri?

  Mkombozi wako ni wewe mwenyewe fuata sheria lipa kodi hutosumbuliwa
 5. Perth

  Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

  Wache wafe kwani kifo ni haki ya kila mtu huwezi zuia kifo, wamekufa wenye corona na ndo maana haipo tz na kama ipo watakufa wenye nayo hata kama ni wew au mimi nasema tutakufaaaa
 6. Perth

  Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

  Bila shaka tuzidi kusali hakika Mungu anaponya , nabii wetu katangulia ila tupo swalama.
 7. Perth

  Kwa dalili zinazoendelea, huyu nahodha alishushwa chomboni?

  Najiuliza hao waliomtosa majini wapo chomboni?
 8. Perth

  Rais Mwinyi tunaomba Serikali iruhusu kuingia kwa chanjo Zanzibar ili watu waweze kwenda Makkah

  Uyo mungu wa makaah awezi kuwaponya corona sasa wanini mnaenda kuntembelea. Nyie mnaenda kumpiga shetani mawe nae akiwagusa kidogo mnalalamika
 9. Perth

  Mbunge wa CCM: Ujenzi wa SGR ni ghali sana, tunaweza kujikita huko tukafeli tukaonekana watu wa ajabu

  They thinks only of their gut and fkn asies , investing for the future of our grandson and child is the thing that many of us don't want it
 10. Perth

  Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

  Tatizo lupo ktk mktataba hatuwezi kukubaliana na kitu hatujaona na kuchambua
 11. Perth

  Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

  Humu kila mtu anafikiria kwa kutumia mhemko na wala si akili, huyo Muhongo anafikiria kutumia tumbo na si kichwa. Umeme wa maji ndo umeme nafuu just turbines zizunguke tu, gas mpaka kuuziwa what if demand ikiwa kubwa gas ikapanda, mto Rufiji ni mkusanyiko wa mito mingi kukauka labda. Ukame nchi...
 12. Perth

  Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

  Achana na viagra bruh tumia enecy na pandol pia navyo s vyema kula chakul mtunda supu utafanya vyema
 13. Perth

  Maisha yamenishinda, vita imenishinda

  Mbona hajibu utu tu mutu, tatizo maisha anayachukulia sirias mnooo acha izo mpinzani, kujiua ni sababu nzuri na njia nzuri sana ya kukwepa mapambano na aibu ila kuna jambo umelisahau.
 14. Perth

  Playboy weds a good girl: inspired by true events

  hai polisi ndo walikusave vipi waliishia wapi na Nazi zao
Top Bottom