P
Joined
Likes
0

Profile posts Latest activity Postings About

  • P
    habari, sikuridhishwa na mchakato wa ajira TBS wa waliochaguliwa mwezi wa kumi 2015. Kuna watu waliomba wakiwa na matokeo nusu wakaitwa kwenye interview na wakapita licha ya kutokua na cheti cha degree hivo kutotimiza vigezo hali watu wenye vyeti walikuwepo ,na kuna watu wengine Walikua na matokeo yote kasoro tu cheti na hawakuitwa hata kwenye interview. Sasa ilikuaje mtu ambaye aliomba akiwa na provision result aitwe kwenye interview na apite? Napaswa kutumia njia gani ili kufikisha malalamiko yangu sehemu husika?
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…