Recent content by Pendaelli

  1. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Sana ndugu yangu , huwa wimbo unaacha tafakari kubwa sana unapoimbwa.
  2. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Pongezi sana ndugu yangu, namshukuru Mungu kunijalia kutokumkosoa mtu kwa vile alivyo umbwa. Zaidi ya kumshukuru Mungu kwa mtu yoyote aliye mbele yangu haidhuru yu wa namna gani.
  3. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Asante kuwa miongoni mwao, nami pia na kuzidi, barikiwa.
  4. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    🤣 sema nini mwanaume ni mwanaume tu, ukishazaliwa mwanaume hata kama unaluemavu lazima kutoboa tu. Hilo usijali best, na zaidi ya hilo pia! Tuombe uzima.
  5. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Comment yako ya kwanza ni uhalisia mtupu, hivi ulifanya utafiti nini?
  6. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    🤣 ndio maana najisemeaga wengine tupo duniani lakini nje ya mfumo, kwa lugha rahisi hatuhitajiki.
  7. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Hii ya huyu mheshimiwa ni ya tatu, sasa dhania ya pili itakuwaje.
  8. Pendaelli

    Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Hata usitengue best ina ukweli mwingi, kwenye kwaya napangwa sauti ya pili!
  9. Pendaelli

    Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

    I Love you mama
  10. Pendaelli

    Picha zinazohuzunisha zaidi (sad pictures )

    Mwenyezi anisaidie hata siku moja nisije nikawa sababu ya mwanamke yoyote kuumia! I'm sorry Mama.
  11. Pendaelli

    Mume mtarajiwa sikia hii

    Inaweza isewe kukata tamaa ila nitakuwa mjinga nisipokubaliana matokeo. Wa moja ni wa moja tu ndugu yangu! Asante tena.
  12. Pendaelli

    Mume mtarajiwa sikia hii

    Labda ! Asante lakini.
  13. Pendaelli

    Mume mtarajiwa sikia hii

    Acha tu ndugu yangu, tulisha tolewa kwenye mfumo sidhani kama tunahitajika tena!
Back
Top Bottom